Ajinyonga kama diwani mlangali-ludewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajinyonga kama diwani mlangali-ludewa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Praff, Apr 19, 2012.

 1. P

  Praff Senior Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Raia mmoja amejinyonga kwa kamba mwezi mmoja baada ya diwani wake wa ccm kujinyonga hapa katani mlangali wilayani ludewa. Tabia ya kujinyonga inaanza kuchukua chati kubwa hapa katani kwani huyu ni mtu wa tatu kujinyonga wa kwanza akiwa diwani kacheche, Rudolf Chaula.
   
 2. P

  Praff Senior Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tabia hii imekuwa kero hapa katani na nawaomba watu wengine wasiige mfano wa wapuuzi hawa ambao hawaijui thamani ya maisha yao na wanaiga mfano mbaya wa diwani wa sisiemu.
   
 3. N

  Njangula Senior Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh! Nipo hapahapa katani Mlangali bado sijapata hizo habari kiundani praff. Source gani hiyo? Amejinyonga lini?
   
 4. P

  Praff Senior Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Source ya information hii ni mimi mwenyewe na nimehudhuria mazsh pale kijijin lufumbu mlangali ludewa baada ya kupewa taarifa hizo, tusiige mfano wa kujinyonga.
   
 5. M

  Mohamed Ngwasu JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 304
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kacheche yupi ni yule mwenye hotel ya siku nyingi pale mlangali?
   
 6. N

  Njangula Senior Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndiyo huyo huyo kumbe nawe washawahi tembelea huku?
   
 7. P

  Praff Senior Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yuleyule
   
 8. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Kwa taarifa zilizopatikana hapo mlangali inasemekana huyo mtu alipigwa to death ndio akatundikwa na wahusika wamekamatwa jana.
   
Loading...