Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nipo na mdogo wangu ni dereva katika taasisi ya serikali iliyo chini ya waziri Omari Nundu anaendesha suzuki vitara,anasema wakienda DT Dobie kwa ajili kufanya service ya Air Condition tuu huwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mh Mramba, sala zako zimesikika, usikubali hawa mawaziri wezi waliothibitika waachiwe hivihivi wakati wewe umedharirishwa. Chukua hatua.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
HATIMAYE mawaziri saba kati ya nane wakiwemo wanaokabiliwa na tuhuma za ubadhirifu, wamekubali kuandika barua za kujiuzulu wenyewe kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kukinusuru Chama cha Mapinduzi...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Kila Mtanzania ni mchunga wa mwenzake,uzalendo na uchungu juu ya nchi yetu ndiyo suluhisho la tamaa ya kujilikimbizia mali za umma kwa faida ya wachache.Kila mtu akijua wajibu wake na akatimiza...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
nahisi yanayoenda kuongelewa huko ni yale yaliyokuwa yakikisiwa na wengi kuwa kunamawaziri wamejiuzuluuuu ngoja tuyasikieeeeeeee!!!!!
1 Reactions
54 Replies
7K Views
Kwanza poleni na majukuma ya siku nzima wna jf poleni na kuumiza vichwa baada ya changamoto za hapa na aple na kubwa ikiwa ni ujifanyie nini kwa ajili yako na familia yako lkn pia na taifa lako...
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Mh.DEO amesema ingawa aliitwa na Lukuvi na kushauriwa asisaini,amesema aliamua kusaini ndio akaenda kumsikiliza,pia amesema HAIKUA SAINI YAKE,NI YA WANARUDEWA NA WATANZANIA SOS:CLOUDSFM HBR
5 Reactions
52 Replies
5K Views
Kinyungu nimekaa chini nikatafakari kiasi cha pesa kinachoibwa ama kukwapuliwa na Wanasiasa wa Tanzania na kugundua ni kiasi kikubwa sana. Cha ajabu pesa hizi sioni impact yake yoyote kwenye...
0 Reactions
1 Replies
935 Views
Hawa magamba watakoma mwaka huu! Mawaziri saba wang’oka HATIMAYE mawaziri saba kati ya nane wakiwemo wanaokabiliwa na tuhuma za ubadhirifu, wamekubali kuandika barua za kujiuzulu wenyewe kwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Je kama tutakuwa na safu ya bunge la Wana Jf, members kama wabunge mngeshauri ni hatua gani zichukuliwe dhidi ya mawaziri hawa? Makongoro Mahanga, Sofia Simba, Celina Kombani, William Lukuvi, Mary...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna mambo mengine tunakuwa tunamwonea tu mheshimiwa Rais Dr. Jakaya M. Kikwete. kitendo kile cha BBC kumuuliza suala la kwa nin nchi maskini na suala na umeme haikuwa haki kumuuliza rais.ye hayo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nipo nackiliza mlimani radio mda huu, wakirusha kipindi toka bungeni. Kilichonikera nihoja ya kujenga gati ya 13 na 14 pale bandarini dsm. Cha ajabu ni pale ambapo kunakuwa na hoja inayoongelewa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WANA JF. HUWA NATEMBELEA HII BLOG MALA KWA MALA,ILA NINA KAMA WIKI TATU HIVI SIJATEMBELEA,LEO NATEMBELEA NALETEWE UJUMBE HUU!! Warning: Something's Not Right Here...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Hivi karibuni shirika la NSSF lilitutangazia kuingia mkataba na serikali wa ujenzi wa daraja la kigamboni ili kuondoa kero kwa wakazi wa kigamboni kwa kuwapa kivuko chenye uhakika. Swali langu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakati mchakato wa kuwashughulikia wateule wa rais wanaoshiriki au wanaoshindwa kuwashughulikia washiriki wa ubadhirifu wa fedha za UMA, kuna haja sasa ya kuona wahasibu wote walioshiriki katika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
aisee kijana mbna umekuwa mkali kias hichi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waziri mkuu pinda leo ifikapo majira ya saa sita za mchana anatarajia kuweka hadharani majina ya mawaziri saba walioamuliwa kujiuzulu kufuatia kashfa za ufisadi ambazo zinaelezwa ama kusababishwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
husika na kichwa cha habari hapo juu.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mi nashangaa sanaa ,Vituo vya Radio na Television vingi vinaplay Muziki tu. Ni kweli kuwa hawasomi nyakati na Muda huu wangekuwa wazalendo wa nchi hii kuwa fahamisha WATANZANIA WOTE nini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jana usiku wa Kucha redio hiyo ikitupasha habari kwamba baadhi ya mawaziri wamejiuzulu kupitia breaking news Lakini cha ajabu leo asubuhi redio hiyo wakati wa kipindi cha magazeti, wakati...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom