Kama kweli lukuvi alimuita Filikunjombe na kumwambia asisaini kwenye kura za kumtoa pinda kwenye jambo la manufaa kwa watanzania atakuwa amewakataza na wabunge wengine wa ccm. Hivi huyu lukuvi ana...
Hakika mabadiliko yanakuja,tumwombe mola atuvukishe salama katika kipindi hiki cha mabadiliko,watz wenzangu popote mlipo bila kujali dini, itikadi, rangi wala kabila tuungane pamoja kuikomboa nchi...
Tokea uhuru wa nchi hii mpaka mzee wangu kafariki, hawa jamaa bado wapo madarakani tu, nimeamka leo asubuhi..nikiwa nimechoka kusikia majina yao na porojo zao kila siku, nenda kwenye ofisi za...
Source: BBC
Scientists say the notoriously dry continent of Africa is sitting on a vast reservoir of groundwater.
They argue that the total volume of water in aquifers underground is...
Baada ya kuhojiwa na waandishi wa habari kuhusu tetesi za mawaziri kadhaa kujiuzuru nyadhfa zao Mh. Waziri Mkubwa aliahidi suala hili litajulikana j3. Hivyo mpaka sasa yawezekana watu wamesika...
Wanabodi,
Baada ya kutoka safari, nimetulia bar ya Rombo Green View eneo la Shekilango, nimeshuhudia ajali ya boda boda, mbele ya macho yangu just now, boda boda yenye abiria imemgonga mwenda...
MICHUZI: Rais Kikwete amewasili mjini Blantyre ,Malawi leo jioni kuhudhuria Mazishi ya Rais wa Malawi,Profesa Bingu wa Mutharika
Rais Kikwete amewasili mjini Blantyre ,Malawi leo jioni kuhudhuria...
Habari kutoka chanzo cha kuaminika zinasema kuwa, mzee mmmoja anayejulikana kwa jina la Nzuankende Kitundu almaarufu kwa jina la MBUNGE wa Kijiji cha misigiri wilayani Iramba mkoani Singida...
hivi karibuni nilitaka kunywa soda aina ya bitter lemon inayotengenezwa na bonite bottlers ltd, kampuni tanzu ya ipp. wakati nataka fungua niliona mdudu mkubwa tena ameanza kuoza! sasa nawauliza...
Sat, Dec 3rd, 2011Sat, Dec 3rd, 2011 | Tanzania
Bank M board chairman Nimrod Mkono
Serious shortage of desks in primary schools will now be addressed squarely following the signing agreement of...
Wakuu, leo mida ya saa tisa nilikuwa mitaa ya kisutu,wakati na nunua vocha mara jamaa akajitokeza na kusema aaa masikini!!! amefarik??, muuza vocha akadakia akishangilia akiuliza, jk? jamaa...
Muheshimiwa spika, kwanza nashuku kwa kuniona na kunipa nafasi ya kuuliza maswali mawili ya nyongeza.
1. Kwa kuwa mawaziri hao wamekubali kuwajibika na kwa kujiuzuru. Je, serikali inampango wa...
Wakati umewadia,sababu tunazo,nguvu na uwezo tunao,tunahitaji tuweke nia tu ya kufanya mabadiliko ya kijamii kwa amani kama kawaida yetu.Kwa wapinzani wanatakiwa kuelewa kwamba haiingii akilini...
Tangu jana jioni nimekua nikisikia maneno haya:WAMEJIUDHULU,MARA WAMEANDIKA BARUA YA KUACHIA NGAZI,MARA BUNGE KUTOA MAAMUZI MAZITO,MARA WAZIRI MKUU .
KUTOA TAMKO MCHANA HUU,MARA WAZIRI MKUU...
Walinzi wa mali zetu ktk nchi hii wamekwenda likizo ndio maana wakubwa na familia zao wanajichukulia kama zao peke yao. Usalama wa T wako wapi? Takukuru?
Tanzania security agencies are investigating how millions of euros from an Italian political party were transferred into the country through a foreign commercial bank and invested in the country.*...
Kwanza kutakuwa na upotevu mkubwa wa fedha wakati wa handover.
Pili, semina elekezi-Ngurudoto itakula tena kwetu.
Tatu, sherehe za kuwakaribisha mawaziri wapya wizarani na kusukuma magari yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.