mkutano wa chadema geita-utitiri wahudhuria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mkutano wa chadema geita-utitiri wahudhuria

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by othiniel, Apr 20, 2012.

 1. o

  othiniel Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hamjambo wana jf napiga hodi kwa mara ya kwanza kwa kuwapa habari za mkutano wa chadema ambao kwa mahudhurio wakazi wa geita wanadai haijawahi tokea,matukio ya leo moja ni diwani mwingine wa visiwa vya kome ccm avaa gwanda la chadema na kuachana na magamba pia ni wilaya ya sengerema na yule wa sengerema mjini nae alikuwepo.la pili lemma asema pinda ni muongo kupita shetani.
   
 2. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Geita huwa wanakuwa wengi katika mikutano, lakini kila uchaguzi wanapiga kwa chama makini(CCM).
  .
  "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
   
 3. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 180
  weka picha mkuu,acha kudanganya watu umati utoke wapi.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  othiniel, weka picha, italeta mashiko!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. o

  othiniel Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Si uongo yaonekana uozoea kudanganywa ni wazi kuwa chadema wanakubalika
   
 6. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Weka picha mkuu
   
 7. M

  MIRIJA IKATWE Senior Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii imekaa poa wakuu
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,383
  Likes Received: 22,259
  Trophy Points: 280
  CCM kwishney no longer
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,383
  Likes Received: 22,259
  Trophy Points: 280
  Watu wa CCM Bwana!!!........... Wabishi kama viongozi wenu wasio taka kujivua gamba
   
 10. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,861
  Likes Received: 4,242
  Trophy Points: 280
  Peoples power daima!! Watz tumechoka na magamba, SAA YA UKOMBOZI NI SASA!
   
 11. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unaishi kwa mazoea?
   
Loading...