Watanzania tunasubiri nin kuwasiaidia wabunge wetu

Yasser5

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
207
17
Hivi kuwachia wabunge watusemeeee tuuu na sisi tumenyamaza mawaziri wanaendelea kudunda kila mbuge anaye siamama anaongea mpka anataka kupasuka na pesa ili fisidiwa si yetu watanzania mim nadahan kukaa kimya ni kuwavunja moyo sana tena sna wabunge watu wnye moyo mzuri
 
Umesema ukweli. Watanzania huwa tunapenda kufanyiwa kila kitu. Wengi wamekaa wanaangalia utafikiria wako kwenye nyumba ya sinema.
 
Mtawalaumu watanzania mpaka lini? Mafisadi wamehakikisha watanzania wachache wanaweza kujua kinachoendelea. Wangapi wana internet? Kuna TV au redio yoyote ya wapinzani?
 
Back
Top Bottom