Pinda wajukuu ni Wanachadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda wajukuu ni Wanachadema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Candid Scope, Apr 20, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Mtoto haoni haya wala woga kuonyesha alama za vidole viwili vya Chadema wakati Pindi ni CCM damudamu
   
 2. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  ndio demokrasia ya vyama vingi hiyo kila mtu anakua na choice yake,tuizoee sasa
   
 3. Mlingwa

  Mlingwa JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuwa ndani ya CCM na hata kuwa na kadi yake, Haimaanishi kuwa wewe ni CCM damdam,wengi wapo huko kwa sababu ya mfumo na kuogopa kuadhibiwa. Kwangu mimi hiyo picha inaonyesha familia ya Pinda inaikubali CHADEMA na hivyo huwaeleza watoto wao kuhusu maovu yaliyo ndani ya CCM.
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mtoto ni mzalendo zaidi
   
 5. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  mtoto mzalendo sana!
   
 6. B

  Buta Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama Nikwel basi. pinda itakuwa alimwambia afanye hivyo Ili ujumbe wake ufike na yeye ni chadema.
   
 7. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  dah waweza kuta hata mama tunu pia ni CHADEMA
   
 8. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,025
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Ka! Nimeipenda sana HII picha. Mambo ya ajabu kabisa uko mikononi mwa PM alama unayoitoa ni V - ambayo ni chama pinzani na PM naam CDM
   
 9. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Tehetehe!!
   
 10. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,772
  Likes Received: 2,675
  Trophy Points: 280
  Mko juu kweli kweli wana IT.
   
 11. ndinga

  ndinga Member

  #11
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  picha ya kutengenezwa hiyo tuache masihara
   
 12. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,674
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni ishara Pinda anaitoa baada ya kifo cha ccm atahamia cdm, maisha pale pale!!
   
 13. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kweli kabisa Ulijuaje vile?
   
 14. N

  Ndole JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kumbe Pinda alikuwa sahihi aliposema Pipoooz power inawanyima usingizi alimaanisha hata nyumbani kwake hali ni mbaya sana.
   
 15. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #15
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,717
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280
  Wala sishangai kwa kuwa hata mama Nyerere ni Chadema, vijukuu pia ni CDM, hila sasa anaogopa kubadilika wakati yeye ni mama wa TAIFA hivyo udai ana chama.
   
Loading...