Anayejiita "mbunge" Iramba Magharibi ahamia CHADEMA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anayejiita "mbunge" Iramba Magharibi ahamia CHADEMA!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by manutddevil, Apr 22, 2012.

 1. m

  manutddevil Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari kutoka chanzo cha kuaminika zinasema kuwa, mzee mmmoja anayejulikana kwa jina la Nzuankende Kitundu almaarufu kwa jina la MBUNGE wa Kijiji cha misigiri wilayani Iramba mkoani Singida amehama chama chake cha CCM na kuhamia CHADEMA.

  Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Mbunge huyo zinasema kuwa amehamia CHADEMA kutokana na tohuma mbalimbali za ufisadi zinazoelekezwa CCM ambazo yeye aliziita ni za kweli.

  Aidha Mbunge huyo aliendelea kusema kuwa wakati umefika sasa wa Ukombozi wa Taifa la Tanzania na hivyo kutoa wito kwa watanzania wote wenye mapenzi ya dhati na Taifa hili kuhamia CHADEMA kwani wameonesha wana nia ya Dhati ya ukombozi wa Watanzania.
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hongera sana mzee mbunge
   
 3. m

  mchambakwao Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyo ana impact gani huko Iramba hata akahamia upinzani au ndo wale wale wachumia matumbo?
   
 4. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Hizi post zenu nyingi na vichwa vya habari haziendani kabisa, uwe unakula mchana kabla hujaposti kitu chochote ili akili zako zikae sawa na ujue unachokiandika sio unakimbilia kupost kama Pasco
   
 5. B

  Babuu Rogger JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 80
  Ninampongeza sana, NOTHING TO LOSE.
   
 6. m

  manutddevil Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu mzee anaenfluence kubwa sana katika kijiji cha misigiri
   
 7. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Na yule chizi anayejulikana kwa jina maarufu kama Raisi wa Tanzania sijui lini atahamia Chadema
   
 8. t

  thandiswa Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ni kweli tunawakaribisha kwa moyo mmoja,coz mapambano yanaendelea!
   
 9. m

  manutddevil Member

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we gamba nn
   
 10. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mtoa mada umenirusha roho sana!
   
 11. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mbunge!!
   
 12. m

  manutddevil Member

  #12
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  gamba nn
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mkuu ahsante kwa taarifa hii kwani inazidi kunipa uhakika kuwa sasa Wanyiramba na Wanyisanzu wanataka ukombozi wa kweli. Pia mpe hizi salam fataki Mwigulu na Salome.
   
 14. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  I see! Wewe umesoma chuo cha uandishi wa habari cha shigongo nini? Mbona watu mnatulazimisha tusome habari zenu hata kama hazina mvuto? Yaani nimeingia mbio nikijua Mwigulu ndiyo kahamia CHADEMA!
   
 15. m

  manutddevil Member

  #15
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usijali ndugu salamu zako zitafika kama zilivyo
   
 16. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #16
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Hongera Mbunge moto ulio washwa wa ukombozi hauzimwi kwa kupulizwa
   
 17. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #17
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Frankly naomba ku-declare kuwa, SIZIPENDI THREAD ZA NAMNA HII! hivi karibuni kuna mwingine alianzisha NAPE ahamia chadema... kwanini usiwe direct katika unachotaka kukisema badala ya ku-play na mind za watu?

  I wish mods wasiruhusu thread za namna hii

  hebu pata picha mtu kasoma heading halafu salio likakata kabla ya kusoma habari yenyewe! si unataka aka-preach nini mtaani?

  please be matured
   
 18. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #18
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hii kabila kumbe linajulikana mie nilifikiri halijulikani kabisa, maana ukimwambia mtu mie Mnyisanzu anabaki kushangaa.

   
 19. L

  LAT JF-Expert Member

  #19
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  teh teh teh ..... usipende kukimbilia thread ... fungua thread ukitegemea lolote lile ...
   
 20. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #20
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Du! Inasikitisha kufanya jukwaa hili linaloheshimika kuwa kichaka cha heading za UDAKU! Mleta mada anatakiwa ajue kuwa huku ni sehemu ya facts tu si sehemu ya kuleta upuuzi bwn. Alivyotengeneza heading haijapendeza kabisa.
   
Loading...