Gharama za kujiuzuru kwa Mawaziri!

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
Kwanza kutakuwa na upotevu mkubwa wa fedha wakati wa handover.

Pili, semina elekezi-Ngurudoto itakula tena kwetu.

Tatu, sherehe za kuwakaribisha mawaziri wapya wizarani na kusukuma magari yao kama ilivyokuwa kwa Jairo, hazikwepeki

Nne, ofisi na nyumba za mawaziri wapya kukarabatiwa upya.

Tano,Mafao ya mawaziri watakaojiudhuru, mfano waziri mkuu wa sasa lazima apewe ulinzi na gari la kwendea sokoni.

Sita, sherehe za kuwaapisha mawaziri ikulu ndogo Dodoma,pesa zitatafunwa.

Saba??

Afadhali waendelee hawahawa aisee, 2015 sio mbali.
 
kwa upande wako hapo ndio mwisho wa kufikiria. ume project hasara watakayokuwa wameisababisha mpaka ifikapo 2015?

Umefanya comparison ukaona kuwa ni bora waendelee au? unadhani kuna jambo zuri ambalo umewahi kuliona toka umezaliwa ambalo halina risk kubwa na cost kubwa ndio ulipate?

Jaribu kufikiri
 
mmmmh! Bora nusu shari kulika shari kamili, mpaka 2015 waTz tutakua hohehahe kabisa tukiwaendeleza hawa mchwa.
 
Kwanza kutakuwa na upotevu mkubwa wa fedha wakati wa handover. Pili, semina elekezi-Ngurudoto itakula tena kwetu. Tatu, sherehe za kuwakaribisha mawaziri wapya wizarani na kusukuma magari yao kama ilivyokuwa kwa Jairo, hazikwepeki Nne, ofisi na nyumba za mawaziri wapya kukarabatiwa upya. Tano,Mafao ya mawaziri watakaojiudhuru, mfano waziri mkuu wa sasa lazima apewe ulinzi na gari la kwendea sokoni. Sita, sherehe za kuwaapisha mawaziri ikulu ndogo Dodoma,pesa zitatafunwa. Saba?? Afadhali waendelee hawahawa aisee, 2015 sio mbali.
WEWE SHEREHE,ULINZI,GARI NA MAFAO ZA NINI WAKATI WAMETUIBIA PESA ZETU?WANYONGWE NA KUFILISIWA MALI YA UMMA.HIVI wao ni MIUNGU WATU? KAKA KAKAE UFIKIRIE UPYA JUU YA HILI SUALA,MBONA TUNATAKA KUWADEKEZA SANA HAWA MAFISADI WA CHAMA CHA MAPINDUZI.WAFUNGWE,MAISHA NA KUANGAMIZWA WAO PAMOJA NA MAFAMILIA YAO ILI LIWE FUNDISHO KWA WEZI WENGNE HAPA TZ. KAULIZE CHINA WANAVYONYONGWA ETI BONGO TUNAOGOPA GHARAMA ZA KUWAHUDUMIA HAWA WAHUNI WHY?WHY?WAPIGWE RISASI MBELE YA HALAIKI HATA KAMA KUNA AMREF INTERNATIONAL WAWATANDIKE TU TUUU TUUUUUUUUU!!!!.NCHI HII NDO MAANA HATUENDELEI TUTABAKI KUWA MASKINI SIKU HADI SIKU NA VIZAZI VIJAVYO VITATULAUMU KWA HUU UIJNGA WA KULEA MAFISADI AMBAO WANAIBA MALI ZETU NA KUJINEEMESHA WAO NA KOO ZAO.
 
What if wapya watakwapua?

We jamaa huna akili duh...
Kwahiyo wewe unaona ni bora kufuga wezi? Siamini kuna watu wapumbavu dunia hii kama ww.

Kumbe ndo maana wakakuita kakaJambazi. Unaleta mada hapa kutetea majambazi wenzako??? Mjinga sana ww
 
We jamaa huna akili duh...
Kwahiyo wewe unaona ni bora kufuga wezi? Siamini kuna watu wapumbavu dunia hii kama ww.

Kumbe ndo maana wakakuita kakaJambazi. Unaleta mada hapa kutetea majambazi wenzako??? Mjinga sana ww[/QUOTE
wewe inaonyesha ni kwa kiasi gani huwezi kujizuia mwenzako katoa hoja baada ya kujibu hoja unajibu matusi watanzania hata tukibadilisha chama bado kazi tunayo relux inawezekana ukwa uko right lakin kwa matusi yako ukaonekana mshamba wa mwisho so watch out and think before done !
 
Kweli wewe ni kaka jambazi kutoka CCM. Hamna msiba usio na mwenzie, lazima wang'oke
Kwanza kutakuwa na upotevu mkubwa wa fedha wakati wa handover.
Pili, semina elekezi-Ngurudoto itakula tena kwetu.
Tatu, sherehe za kuwakaribisha mawaziri wapya wizarani na kusukuma magari yao kama ilivyokuwa kwa Jairo, hazikwepeki
Nne, ofisi na nyumba za mawaziri wapya kukarabatiwa upya.
Tano,Mafao ya mawaziri watakaojiudhuru, mfano waziri mkuu wa sasa lazima apewe ulinzi na gari la kwendea sokoni.
Sita, sherehe za kuwaapisha mawaziri ikulu ndogo Dodoma,pesa zitatafunwa.

Saba??

Afadhali waendelee hawahawa aisee, 2015 sio mbali.
 
Yani kakajambazi watu km nyie ndo mmemfikisha JK apa alipo kwa ushauri wenu mbovu.....Hao wanaachia ngazi dawa ni ndogo ni kuwafikisha mbele ya sheria ili sheria ichukue mkondo wake kwani waliaminiwa kuwaongoza waTanzania lakini ikawa ndivyo sivyo kilicho baki ni kuwafungulia mashtaka ya kutumia madaraka na ofisi za umma vibaya na sio kuacha kansa imalize mwili mzima
 
We jamaa huna akili duh...
Kwahiyo wewe unaona ni bora kufuga wezi? Siamini kuna watu wapumbavu dunia hii kama ww.

Kumbe ndo maana wakakuita kakaJambazi. Unaleta mada hapa kutetea majambazi wenzako??? Mjinga sana ww[/QUOTE
wewe inaonyesha ni kwa kiasi gani huwezi kujizuia mwenzako katoa hoja baada ya kujibu hoja unajibu matusi watanzania hata tukibadilisha chama bado kazi tunayo relux inawezekana ukwa uko right lakin kwa matusi yako ukaonekana mshamba wa mwisho so watch out and think before done !
Duuh,huu mchano!
 
Kwanza kutakuwa na upotevu mkubwa wa fedha wakati wa handover.
Pili, semina elekezi-Ngurudoto itakula tena kwetu.
Tatu, sherehe za kuwakaribisha mawaziri wapya wizarani na kusukuma magari yao kama ilivyokuwa kwa Jairo, hazikwepeki
Nne, ofisi na nyumba za mawaziri wapya kukarabatiwa upya.
Tano,Mafao ya mawaziri watakaojiudhuru, mfano waziri mkuu wa sasa lazima apewe ulinzi na gari la kwendea sokoni.
Sita, sherehe za kuwaapisha mawaziri ikulu ndogo Dodoma,pesa zitatafunwa.

Saba??

Afadhali waendelee hawahawa aisee, 2015 sio mbali.
Mh! dunia ina mambo we naona ulisoma ngumbaru na jina lako linajieleza Pole kwa fikira zako mbovu waTZ wa sasa hawako hivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom