Watanzania tuungane kufanya mabadiliko ya jamii ya tanzania kwa amani kama kawaida | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tuungane kufanya mabadiliko ya jamii ya tanzania kwa amani kama kawaida

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TEMILUGODA, Apr 19, 2012.

 1. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wakati umewadia,sababu tunazo,nguvu na uwezo tunao,tunahitaji tuweke nia tu ya kufanya mabadiliko ya kijamii kwa amani kama kawaida yetu.Kwa wapinzani wanatakiwa kuelewa kwamba haiingii akilini kufahamu kwamba serikali hii imepwaya,imeyumba,imefilisi taifa,imefilisika,inafungasha mkanda wananchi,imechanganyikiwa,twende barabarani dunia ione na Mungu apokee maombi ya pamoja.
   
 2. FortJeasus

  FortJeasus JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Tuwaondoe kwa sanduku la kura mwaka 2015.
  Kwa sasa maandamano yanasaidia kusambaza elimu ya uraia kwa wananchi.
  Tulikuwa na maadui wakuu watatu wakati tunapata uhuru ...sasa adui yetu mkuu na mama wa hao maadui hao ni CCM.
   
 3. john leonard

  john leonard Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo mama anawatoto wengine wawili mtawajua mkipevuka akili jumla ni watano wawili walibaki dhamana kwa mkoloni!
   
Loading...