Watz TUAMKE..TUPEANE NAFASI YA KUFAIDI RASILIMALI ZA NCHI.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watz TUAMKE..TUPEANE NAFASI YA KUFAIDI RASILIMALI ZA NCHI..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by stroke, Apr 23, 2012.

 1. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,355
  Likes Received: 6,539
  Trophy Points: 280
  Tokea uhuru wa nchi hii mpaka mzee wangu kafariki, hawa jamaa bado wapo madarakani tu, nimeamka leo asubuhi..nikiwa nimechoka kusikia majina yao na porojo zao kila siku, nenda kwenye ofisi za kiserikali na mashirika ya uma, utakuta ni watoto wao tu na ndugu zao wamejaa kibao wanakula nchi kama vile wao wenyewe ndio wenye haki..

  Hali hii imenichosha na ninaona imefikia mwisho sasa, kwa hawa jamaa kuendelea kututawala wao na watoto wao..tukumbuke kua tulizaliwa tukiwa tunalia ..na tujitahidi kuondoka tukiwa tunacheka kwa kuwa na maisha mazuri..na mwanzo wa mapambano ya kutetea haki ya kuwa na maisha mazuri ni sasa..
   
Loading...