Bank M Chairman Nimrod Mkono, Maajar Sign Partnership On Desks Provision

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Sat, Dec 3rd, 2011Sat, Dec 3rd, 2011 | Tanzania
mkono-bank.jpg


Bank M board chairman Nimrod Mkono

Serious shortage of desks in primary schools will now be addressed squarely following the signing agreement of a one-year partnership between Bank M and Hassan Maajar Trust Fund.
The event held in Dar es Salaam yesterday aimed at providing a desk to every child in the country, to offset the shortage of about three million desks across the country.

The bank becomes the first corporate to firmly support the initiative under its corporate social responsibility (CRS) and offering 80m/- plus sponsoring a dinner gala, which will officiate ‘a desk for every child' campaign next Tuesday.
The Bank M Chairman, Mr Nimrod Mkono, said during a short signing ceremony that the bank would support the initiative one hundred per cent and was happy to partner with the fund to get rid of the embarrassment for children sitting on the floor in classrooms.

"The initiative is good.
The challenge ahead is to make strong, durable and quality desks that will last longer and not temporary stuff and come back for another fund raise," Mr Mkono, an advocate-cum-politician, said.The Chairman challenged politicians to think of not only winning elections, but also enabling all pupils to attend classes with comfort free from crawling on the floor in cramped classrooms.

"If each Member of Parliament contributed only 10 desks to his (her) constituency, we would have about 3,600 desks. This is a big leap toward providing pupils with desks," Mr Mkono, owner of Mkono & Co, an advocate firm, said.
On her part, HMT Chairperson, Ambassador Mwanaidi Majaar, said the fund want to consolidate all desks sponsoring activities in the country to quicken the effort in two or three years.She said: "During the inception in July, we promised that within the first six months we would launch a big campaign geared to raise 3bn/- for primary school desks.

"
The gala would be a platform to educate people on the importance of joining hands and provide something for the country's about 3 million pupils studying while seated on the floor.Ms Majaar said the fund would cente a region from district levels and make sure that every child sat on a desk before embarking on doing the same in the next region, until the problem was fully addressed.

"We will conduct a lottery on which region to start with at a dinner on Tuesday (December 6). The winning region will be announced and once the desks problem is over, we repeat the same procedures until all regions are done," Ms Majaar said.
The dinner gala would have 100 tables and each table is expected to raise 10m/-, collecting 200m/- from selling of table tickets alone.

The money collected will go to the project. The raffling will assist on removing bias for which region should be the first.
HMT's Trustee Bertha Semu Somi said since the inception of the fund, it had won considerable good will and response from corporate, Diasporas, individual well wishers inside and outside the country.

She said the gala would draw invitees from Tanzanians working with UN agencies inside and outside the country, Diasporas, Members of Parliament and some special schools such as Weruweru, Ashira and so forth.
"Let's we, who schooled seated on a desk contribute to this initiative," Ms Somi said.

Another Trustee and Educationist Maria Komu borrowed Mwl. Nyerere words, saying, "
Tanzania shall be built by Tanzanians…it can be done play your part."
The Trust is not for profit, non-partisan and non-religious with the sole purpose of helping to improve the learning environment in public schools in Tanzania.

The late Hassan was the son of Mwanaidi Sinare Maajar, the Tanzanian Ambassador to the USA and her husband Shariff Hassan Maajar.

Hassan was nearly 18 years old when he passed away while attending school at Waterford Kamhlaba United World College of Southern Africa in Mbabane, Swaziland.
By ABDUEL ELINAZA, Tanzania Daily News
 
God bless our Political BusinessMen... It can be done play your Part!!! ??
 
Kenge manyoya hawa walikuwa wapi siku zote dar imezinduliwa leo au walisubiri miaka 50 na wakifa kabla ya dec 9 inakuwaje ndio maana nasema bora uwe mlevi wa pombe kuliko mlevi wa ufahamu ndugu zanguni....ukikosa ufahamu bora mlevi anaejinyea bar hawa walikuwa wapi wanatutangazia uchafu wao kisa waonekane kwenye magazeti sijui
shame on them
 
Kila nikiwafikiria watu walioifirisi nchi hii,hasa wazalendo halafu nikirudi kuangaliwa wanarudi kwa mlango wa nyuma eti wanatoa msaada wa madawati,huyu ni mmoja wa walioiba benki kuu kisha wakaichoma moto kipindi cha awamu ya kwanza na huyu ni mmoja wa mafisadi waliotajwa kwenye list of shame ya CDM (slaa)pale mwembe yanga,akatishia kumshitaki slaa eti kwavile ni mwanasheria aliyebobea baabae akanywea leo anakuja na vimisaada,uchina watu kama hawa wanapigwa risasi sisi tunawapongeza.
 
Ni jambo jema na huu unakamilisha usemi "Ask not what your country can do for you - ask what you can do for your country". Maajara na Mkono nawapa pongezi na muendelee kuwa na mawazo mema.
 
Ni jambo jema na huu unakamilisha usemi "Ask not what your country can do for you - ask what you can do for your country". Maajara na Mkono nawapa pongezi na muendelee kuwa na mawazo mema.



Napata shida sana na watu kama wewe:
Ebu jaribu kurudia sana maana ya Signature yako kama kweli wewe muumini mzuri, kwangu haijalishi Dini gani.
Na nukuu "Show forgiveness, speak for justice and avoid the ignorant." (Qur'an 7:199)


Ukipata jibu usimwambie mtu.
 
Mafisadi mara nyingi hufanya vitu kama hivi kuficha madhambi yao. Hata Rostam alitoa mchango wake Kanisani ; Lowassa ndio hivyo kwenye harambee za makanisa. Msisahau Mkono na uhusiano wake na EPA na Maajar na uanasheria wa RICHMOND/DOWANS!! Ni wale wale wanakuja kwa kupitia mlango wa nyuma; sintashangaa kama mgeni rasmi atakuwa mkweree!!
 
Napata shida sana na watu kama wewe:
Ebu jaribu kurudia sana maana ya Signature yako kama kweli wewe muumini mzuri, kwangu haijalishi Dini gani.
Na nukuu "Show forgiveness, speak for justice and avoid the ignorant." (Qur'an 7:199)
Ukipata jibu usimwambie mtu.

Hiyo isikupe shida, hiyo ni Qur'an na ni kwa ajili ya walimwengu wote, haina makosa.

Niambie kosa la Maajar na Mkono ni lipi? au hampemdi watu wafanye mema?
 
Kenge manyoya hawa walikuwa wapi siku zote dar imezinduliwa leo au walisubiri miaka 50 na wakifa kabla ya dec 9 inakuwaje ndio maana nasema bora uwe mlevi wa pombe kuliko mlevi wa ufahamu ndugu zanguni....ukikosa ufahamu bora mlevi anaejinyea bar hawa walikuwa wapi wanatutangazia uchafu wao kisa waonekane kwenye magazeti sijui
shame on them

Mkuu mbona Nimrod Mkono ameanza siku nyingi. Nenda huko kwao Musoma utakuta kuna Shule za Sekondari alizojenga kwa mikono yake ambazo ni nzuri kuliko hata baadhi ya Vyuo vikuu vya hapa nchini. Tembelea shule ya Sekondari Chifu Ihunyo ana benard Mang'ombe huko Musoma vijijini (Sasa Butiama) Ujionee mambo ya Mkono kwa Mkono! Wacha tu walete madawati ili watoto wetu aepukane na kukaa chini.
 
Hiyo isikupe shida, hiyo ni Qur'an na ni kwa ajili ya walimwengu wote, haina makosa.

Niambie kosa la Maajar na Mkono ni lipi? au hampemdi watu wafanye mema?

si kwa ajili ya ulimwengu wote, kwani wote sisi ni waisilamu?
 
Bora na hawa wanaoturudishia kwa mgongo wa nyuma kuliko wale wakoloni waliochukua mali zetu nyingi na leo misaada na mikopo yao ina kuja kwa masharti ya ''kuoana wanaume kwa wanaume''.Shit.
 
Hakuna haja ya kumsifia huyu jamaa. Ni fedha zetu anaturudishia. Huyu jamaa na kampuni yake ya uwakili wanaifirisi Tanesco kwa kusimamia kesi walizoziandaa wao. Ni upuuzi kumshukuru mwizi.
 
Naunga mkono hiyo move yao acha hata kama ni pesa zetu ila heri hao kuliko walioziweka huko off shore zimekaaa tu for yrs heri hata waje waajiri watu hapa huku zinazunguka .......watoto wanataabika jamani nashangaa sanaa serikali inashindwa kuunga mkono na watu wote tuwe kitu kimoja kwahili....wakae kwenye madawati watoto wanataabika sana....na ni aibu kubwa sana...
 
Back
Top Bottom