kweli watz wengi wamesha choshwa na huyu JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kweli watz wengi wamesha choshwa na huyu JK

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SILENT GUNNER, Apr 21, 2012.

 1. S

  SILENT GUNNER Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu, leo mida ya saa tisa nilikuwa mitaa ya kisutu,wakati na nunua vocha mara jamaa akajitokeza na kusema “aaa masikini!!! amefarik??, muuza vocha akadakia akishangilia akiuliza, jk? jamaa akasema sioo!!da muuza vocha alikasirika alitaman afe tuchague mwingine et amechoshwa na mambo yake yooote. ndipo hapo nikapima ni kwa kiasi gani sasa mkuu wa kaya hapendwi kabisa kiasi cha kuombewa kifo na mtu wa chini kabisa.
  hayo nimesikia dialog ya watu sina source nyingine.
   
 2. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Jamaa amevunja expectations za watanzania wengi sana, watu walimtumaini sana, wakamwamini na kumpa ridhaa kwa kishindo wakiamini yeye ndie mkombozi wao daah! kawageuka vibaya, instead of maisha bora sasa ni bora maisha duuh! lazima wamchoke na kumwombea mabaya!
   
 3. H

  Hansen Nasli JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 881
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Udini na ukanda unaowasumbua na roho mbaya tunampenda sana Jk na ndomana tulimpa ridhaa tena ya kushika hatamu!nyie watu a kaskazin mmeshapanga kujitenga n ndio hamumpend kwahy tafadhal msitusemei sisi watanzania kwa kuzusha uongo na unafiki,kamwe huyo rais wenu kushka nchi hii hizo ni ndoto
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hakuna Rais bora Tanzania zaidi ya Jakaya Mrisho Kikwete.

  Ni nani aliyefanya zaidi yake kuhusu chochote mtachochaguwa.
   
 5. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Nani kaongelea udini na ukanda kama sio wewe?Kumbuka kila mtanzania ana msimamo wake,na sio lazima ufanane na wa kwako!Pili ujue rais huyo huyo aliomba kura kwa watanzania wote bila kujali udini, ukanda,utajiri wala ufukara
   
 6. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Vague!
   
 7. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  kasafiri sana nje ya nchi,kafunika tz nzima,nenda uhamiaji kaulize
   
 8. N

  NYALU BOY Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  si kweli kwamba kuna udini na ukabila,jk kachemsha maisha magumu kwa wa tz ,mfumuko wa bei, na ufisadi wa mawaziri wa na yeye hachukui hatua yoyote, tumwelewaje wakati yeye ndio mkuu wa nchi?
   
 9. Mdau35

  Mdau35 Senior Member

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 129
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  utavaa tsht za njano mpaka ushangae!
   
 10. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  hata mimi mmoja wapo nampango wa kuanzisha kikundi cha waasi dhidi ya serikili ya JK
   
Loading...