Wachungaji wa CCM ni mafisadi?

mpingauonevu

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
623
430
Kwa kumbukumbu zangu ccm ina wabunge wachungaji watatu
1. Mama Rwakatare - viti maalum
2. Asumpta Mshana - Nkenge
3 wa mbeya vijijini (nimemsahau jina).
HAWAKEMEI DHAMBI, HAWAKARIPII WALA HAWAONYI KAMA bIBILIA INAVYOSEMA.
CDM nadhani wana wawili wa karatu na iringa mjini (kama nimewakosea mtanisaidia).
kazi ya wachungaji wa CDM inajulikana ni majembe!
JE UKIAMBIWA UCHAGUE WACHUNGAJI WA KUKUONGOZA SALA YA TOBA UTAWACHAGUA WACHUNGAJI WA CHAMA GANI?
 
Kwa kifupi wa chama cha magamba wamekimbilia umaarufu na mamlaka. Mtu kama wa mikocheni B hata kilichompeleka mjengoni ukimuuliza hatakupa jibu la maana. Kwa sababi magamba walimpendekeza yeye ili waweze kupata popularity yake pale church
 
kwa kumbukumbu zangu ccm ina wabunge wachungaji watatu
1. Mama rwakatare - viti maalum
2. Msumpa nshana - nkenge(kama sijakosea)
3 wa mbeya vijijini (nimemsahau jina).
Hawakemei dhambi, hawakaripii wala hawaonyi kama bibilia inavyosema.
Cdm nadhani wana wawili wa karatu na iringa mjini (kama nimewakosea mtanisaidia).
Kazi ya wachungaji wa cdm inajulikana ni majembe!
Je ukiambiwa uchague wachungaji wa kukuongoza sala ya toba utawachagua wachungaji wa chama gani?

mbona jibu rahisi sanaaaa....nitawachagua makamanda wa kikosi cha mizinga! Batalion ya chama cha maendeleo! Kombaini ya demokrasia
 
Hawa Wachungaji mi nashindwa hata kuwaelewa,NINA MASHAKA NA RWAKATARE
 
sio wote waitao Bwana Bwana watauona ufalme wa Mbinguni. lakini nanyi ndugu wa jf mbona kutazama kibanzi cha mwenzio wakati ndani ya macho yenu yako maboriti ya kujengea ghorofaaa? njooni sasa niwaongoze sala ya Toba mmpokee Bwana. mtaanza kusema aah nani ameniambia...... aahh nimejuaje, ........ aah nahukumu. acheni hizo njoni kwa Bwana. tafuteni lango na njia ya kweli ya kwenda Mbinguni.
 
Back
Top Bottom