Saa ya ukombozi yaja,watz tuangane pamoja kuikomboa nchi yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Saa ya ukombozi yaja,watz tuangane pamoja kuikomboa nchi yetu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by naninibaraka, Apr 23, 2012.

 1. naninibaraka

  naninibaraka JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Hakika mabadiliko yanakuja,tumwombe mola atuvukishe salama katika kipindi hiki cha mabadiliko,watz wenzangu popote mlipo bila kujali dini, itikadi, rangi wala kabila tuungane pamoja kuikomboa nchi yetu kwenye mikono ya wezi wa rasmali za nchi yetu,uongozi wa nchi ni dhaifu kuanzia rais mpaka viongozi wa chini,tungane pamoja.

  Rais kabariki uporaji wa nchi yetu kwa kutuletea mawazir wez, hata tubadilishe mawazir mara ngapi tatizo linabaki kuwa bado rais wetu ni dhaifu na hana nia ya dhati kushghulikia matatizo yanayowakabli watz, rais hawadabishi mawazir mpaka ashinikizwe,amekuwa mtu wa kusafir safar zisizo na tija na nchi yetu, tuige mfano wa nchi jirani wanapokuwa pamoja kwenye mambo yenye maslahi kwa taifa lao...

  Nawasilisha
   
 2. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Inakuja kweli kweli na Italetwa na CDM
   
 3. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 324
  Trophy Points: 180
  Nilitumia siku mbuili kwa .maombi na sala kusali juu ya nchi yangu Mungu atunusuru na janga hili ccm.
   
Loading...