Msaada- blackberry torch imekataa kuplay music

ngarambe

Senior Member
Joined
Apr 15, 2012
Posts
100
Reaction score
14
Jamani nilikua na download music nililivyomaliza nikataka kuplay nyimbo zote zikagoma mpaka video haziplay kbs, pia hata ring tone ya nyimbo niliokua nimeweka imebadilika na kuita kwa ring tone ambayo ni ya simu. Naomba msaada
 
Pole utakuwa umenunua feki hiyo ya mkandarasi
 
​basi taratibu mkuu tumeshajua kua una blackberry
 
Back
Top Bottom