Waziri wa mifugo David Matayo apigwa marufuku kutembelea Jimboni kwake Same magharibi leo

simon james

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
283
140
Kwa kile tunachokiita vuguvugu la mabadiliko Jumapili tar 29/04/ 2012 sa 8 mchana kutakuwa na mkutano Mkubwa katika Kitongoji cha Nkwini kata ya makanya wilaya ya Same ambapo watasimikwa mabalozi wa CHADEMA na baadaye wananchi wanataratjiwa kutoa maoni juu ya mashamba yao ya Mabono waliyonyang'anywa na kupewa mwekezaji huku diwani na Mbuge wakionyesha dhahiri kukataa kushughulikia matatizo hayo. Kwa wapenzi wa CHADEMA na Viongozi Wanaofurahia harakati hizi huku vijijini hasa wilaya ya Same. Tunaomba mtusaidie Bendera 50 na kadi 500 kwaajili ya kazi hii kwani uongozi wa CHADEMA wilaya na mkoa tumewasiliana nao na wamesema hawana kadi na bendera wanasubiria hadi watakapo pewa toka makao makuu. Kwa kiongozi au mwanaharakati mwenye vifaa hiv tuwasiliame 0788177315 kabla ya siku kufika
 
Mkuu asanteni kwa harakati zenu za kuwaletea ukombozi wa kweli wananchi.
Big up sana
 
Bora nyie muwe wapare wa mwanzo kuikana ccm,kwa maghembe na kilango napo waamke kwani ccm haina sera za kutukomboa
 
Kwa kile tunachokiita vuguvugu la mabadiliko Jumapili tar 29/04/ 2012 sa 8 mchana kutakuwa na mkutano Mkubwa katika Kitongoji cha Nkwini kata ya makanya wilaya ya Same ambapo watasimikwa mabalozi wa CHADEMA na baadaye wananchi wanataratjiwa kutoa maoni juu ya mashamba yao ya Mabono waliyonyang'anywa na kupewa mwekezaji huku diwani na Mbuge wakionyesha dhahiri kukataa kushughulikia matatizo hayo. Kwa wapenzi wa CHADEMA na Viongozi Wanaofurahia harakati hizi huku vijijini hasa wilaya ya Same. Tunaomba mtusaidie Bendera 50 na kadi 500 kwaajili ya kazi hii kwani uongozi wa CHADEMA wilaya na mkoa tumewasiliana nao na wamesema hawana kadi na bendera wanasubiria hadi watakapo pewa toka makao makuu. Kwa kiongozi au mwanaharakati mwenye vifaa hiv tuwasiliame 0788177315 kabla ya siku kufika

Mkuu hiyo ni furaha ya M4C au nini? Mbona ulichopost na kichwa haviendani? Hebu tupe taarifa ya ni waziri nani aliyepigwa stop.
 
Mkuu mzigo mkubwa unasubiriwa utue toka makao makuu, bila shaka mwenyekiti wetu Nanyaro atakuwa ameusoma uzi huu.
Tumaini Makene tafadhalini leteni mzigo, najua utapitia humu
Mungi, wasiliana na Jamaa wapeleke mzigo huo wa Bendera na Kadi.
Wangekuwa wenzetu wangepeleka tshirt na Kofia...sisi hatuna vitu hivyo, tuna Mungu!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mzigo mkubwa unasubiriwa utue toka makao makuu, bila shaka mwenyekiti wetu Nanyaro atakuwa ameusoma uzi huu.
Tumaini Makene tafadhalini leteni mzigo, najua utapitia humu

jamaa kaacha namba yake kabisa hapa msilaze damu wakuu..hakuna kulala mpaka kieleweke
 
CDM makao makuu, tumechoka kuwaomba vifaa kazi, ni muda muafaka sasa majukumu mengine kama haya yaanzie chini na sio juu tu kama ilivyozoeleka...

Tunataka bendera na kadi hata huku Musoma Vijijini, sio ombi ni lazima.
 
Msishangae waziri akija na kujibu tuhuma kuwa hao ni wahuni tu, yeye anapendwa sana jimboni kwake, mpaka kuna watu wanamlamba miguu
 
Back
Top Bottom