Vipima joto vya ITV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipima joto vya ITV

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yasser5, Apr 24, 2012.

 1. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huwa najiuriza baada ya itv kupata zile comment katika vile vipima joto majibu yake huwa yanapelekwa wapi(kwa watendaji gani na kwa hatua gani?)
  au ni kuwa sumbua watanzania tu na kama ni hivyo basi ni wizi watu wnatumia vocher kujibu
  wana JF hili limekaaje?
   
 2. B

  BLB JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hiyo mbona inaeleweka kwamba ni biashara,
  ndo maana majibu kwa maswali yao yapo wazi,
  kama una akili timamu huwezi kuchangia,,,,
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Wanafanya biashara wale...
   
 4. N

  Nehondo JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Na watuambia hizo asilimia wanazosema ni kati ya watu wangapi
   
 5. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Anaetunga maswali nina shaka na utimamu wa upstairs yake
  OTIS
   
 6. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hoja huwa zinakusanywa na kutafuta moja yenye uzito zaidi na kuifanyia majadiliano kwenye kipindi chao cha kipima joto, na kipindi kwa kawaida si kibaya huwa kinabamba kutokana na mada ya siku hiyo.....upo hapo? vitu vingine muwe mnafanya udadisi,
   
 7. papason

  papason JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa anayetunga hizo leading questions zao ni kilaza kweli kweki!
   
 8. D

  DOOKY JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mara nyingi anauliza majibu, mf je mawingu kuwa mazito unadhani mvua itanyesha? Wakati dalili ya mvua ni mawingu. Huwa wananishefua sana
   
 9. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Nahisi hawa ni waongo watupu.Zle %za sijui nahic hakuna wanaotuma sms za vle.
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mshaenda kuuliza ITV au mnabwabwaja tu? We ulitaka waojiwe watanzania wote mil40?
   
 11. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Hatutaki kujua ujuha wa mtu kwenye hii forum.Hata kama kusoma haujui hata kuangalia Picha unashindwa?
   
Loading...