Naimba ninacho kipenda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naimba ninacho kipenda

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzururaji, Apr 25, 2012.

 1. Mzururaji

  Mzururaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,236
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  Imar Kama Chadema.
  sio Mnafki Kama Mkapa
  jasiri kama Lema!
  Ni Profesa Kama Lipumba Ila Sinuk Kama Kimba
  Mwerevu Zaidi Makamba..
  profesa Kam Safari
  Mshindi Kama Nasari.
  popote Twende Sijakimbia Umande, Msomi Kama Silinde ,
  sina Hoja Za woga kama magamba hoja zangu za mana zanifanya nishinde sio mjinga mjinga kama lusinde
  Maarufu Kama Zito..
  star Wa Aplicalpto magamba msinigunse Me Ni Wa Moto.
  dili Ka m4c Mjanja Ka wana chadema Co Boya Ka Dr kj
  tajiri Ka Ndesamburo Naish kigoma japo natokea Moro........ *Kama unaweza ongeza mistari mwisho wa siku tupate wimbo*
   
 2. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Sizibi Hoja kama Kinda,
  Ingawa masikini kama Chinga, Silii lii kama Anne,
   
Loading...