Wazanzibari bado wanalia na Muungano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazanzibari bado wanalia na Muungano

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mabagala, Apr 25, 2012.

 1. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ujumbe wa simu wanausambaza kwa wazanzibari wenzao kutoka kwa 'JUMUIA YA UAMSHO NA TAASISI ZA KIISLAM'' kuwa leo tarehe 25 april usiku wa kuamkia kesho watakuwa na mkesha ikiwa ni dua kubwa usiku mzima kumuomba Allah katika kuikomboa Zanzibar, na asubuhi kesho yake wakusanyike kwa wiki viwanja vya lumumba ili wakusanye sahihi 400,000 (laki nne) za wazanzibar kukataa muungano.

  Kwanini Tanganyika bado inasita? hawa jamaa wamekuwa wanakusanyika mpaka viwanja vya baraza la wawakilishi wao ili wakombolewe kutoka katika Muungano! kwanini wasiachiwe nchi yao? au ndo mpaka serikali iwapige mabomu na risasi wafe ndo wakubali kuuvunja? Hebu tuwaache jamani wawe na amani tumechoka na makelele yao watauana huko na ndugu zetu watanganyika waishio huko wanaweza wakaanza kuhujumiwa, maana wanahamasishana sana siku izi hasa misikitini
   
 2. A

  Anold JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,378
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Akasema "wasamehe maana hawajui walitakalo"
   
 3. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mimi pia napenda uvunjike, tena ni vizuri kama wanaomba wao wenyewe
   
Loading...