Radio Free Africa Tuongee Magazeti - Ni adhabu kwa Tanzania Daima au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Radio Free Africa Tuongee Magazeti - Ni adhabu kwa Tanzania Daima au?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by anjnr, Apr 25, 2012.

 1. anjnr

  anjnr JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 483
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ni hisia zangu tu, nikiwa msikilizaji mzuri wa kipindi hicho naanza kupata hisia huenda gazeti hili limesusiwa kwani ni takriban siku tatu mfululizo limepigwa kando ktk uchambuzi wa magazeti. Mara ya mwisho ilisomwa heading tu iliyohusu mawaziri 8 kujiuzulu kisha matangazo yakasitishwa kwa muda na kuanza upya na mtangazaji tofauti.
   
Loading...