Nchi wahisani wa wafumbia macho ufisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchi wahisani wa wafumbia macho ufisadi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sikiolakufa, Apr 25, 2012.

 1. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  lICHA YA TAARIFA MBALIMBALI ZINAZOAINISHA UFISADI LUKUKI WAHISANI WA TANZANIA AU DEVELOPMENT PARTNERS KAMA WANAVYOPENDA KUJIITA WAMEFUMBIA MACHO UFISADI.... TAARIFA ZA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI ZIMEKUWA ZIKIWEKA WAZI WIZI WA FEDHA ZA UMA...JE HAWA WAHISANI WAMEKUBALI PESA ZA WALIPAKODI WAO ZIPOTEE BURE? MWAKA JANA WAMETOA TAKRIBANI DOLA MILLIONI 532 KAMA GENERAL BUDGET SUPPORT...HELA HIZO HAZIJATUMIKA KIUFASAHA.
   
 2. Chaimaharage

  Chaimaharage JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunajua wanao changia matatizo hii nchi ni hao wahisani.Hivi unawezaje kuendelea kumsaidia mtu ambaye unajua hakika kile unacho mpatia hakitumii vizuri?haiingii akilini.Kuna siri kubwa imefichwa hapa.Pamoja na ubadhilifu unaotajwa utasikia eti wafadhili fulani wamechangia kiasi kadhaa bajeti.Cha ajabu wengine wame wekeza kwenye migodi n.k hapa jiulize ile misamaha ya kodi na favour kibao ya nini?wanajua wanavyo jilipa ndiyo maana wako kimya.
   
 3. M

  Makupa JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Lazima wafumbie macho kwa vile wao ndio wanaofaidi rasilimali za nchi changa,pindi mianya ya wao kunyonya inapozibwa wako tayari hata kuchochea maasi ndani ya nchi
   
 4. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,838
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  hawajafumbia macho, mwaka huu hawajatoa pesa na kama wametoa ni kidogo sana, ndiyo maana unasikia ujenzi hawajapewa pesa za maendeleo. mapato yetu yanatosheleza mishahara na chai tu na pesa za baba mwanaasha kwenda ng'ambo kujirusha.pesa za maendeleo ni mchango wa wahisani,kwa hiyo jaamaa wanataarifa zote za ufisadi
   
 5. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  ni wanufaika wakubwa wa madudu ya ccm. kwao ni bora ccm wanayoijua na kui-influence, kuliko popular upinzani wa eg CDM ambao utaweza Tanzania first na kuhatarisha minyonyo yao
   
Loading...