Tanzania imeiva kwa mapinduzi

MADABADA

Member
Apr 1, 2012
31
5
Ndg Watanzania wezangu,sasa ni dhahiri kwamba umasikini umetamalaki miongoni mwa jamii na hakuna mwingine wa kumlaumu tofauti na viongozi na serikali legelege na uongozi uliopoteza mwelekeo.Je ipo haja kwa Jeshi letu kuchukua nchi ili kurejesha utawala wa sheria? Lakini pia ni kweli kwamba jeshi letu linaweza kuendesha nchi kwa misingi ya haki? Japo mapinduzi si mazuri na pengine athari zake zaweza kuwa mbaya kwa muda lakini ni ukweli kwamba "Jipu limeiva tayari kwa kutumbuliwa na likiachwa ni kuongeza maumivu kwa mgonjwa"
 
Back
Top Bottom