madereva lake oil wako utumwani?


N

Nascoba

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Messages
278
Likes
94
Points
45
Age
35
N

Nascoba

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2012
278 94 45
ndugu zanguni kama kuna kampuni inaendeshwa kihuni basi kampuni ya mafuta ya lake oil haina mfano.kampuni hii licha ya kukosa utaratibu maalum wa kazi hali inayoonyesha haina uongozi wenye akili timamu,madereva wanaosafirisha mafuta ktk nchi za kongo,zambia,Rwanda,Burundi nk wamekuwa wakiwekwa ndani ktk nchi hizo za ugenini kwa kisingizio cha kukutwa na hasara ya mafuta,hasara ambayo aidha husababishwa kwa makusudi na vipimo vya sehemu ambayo mafuta yanashushwa na kupelekea baadhi ya madereva kulazimika kuyakimbia magari kukwepa unyanyasaji huo.mbaya zaidi dereva ambae wamemwajiri tanzania wanakwenda kumweka ndani ktk nchi ya kigeni ambako hana mdhamini,na anawekwa ndani bila maelezo wala maandishi yoyote.madereva ktk kampuni hii ya mafuta wanaishi kwa mashaka kama watumwa.nimeliweka hili hapa jamvini ili kama kuna wadau wa haki za wafanyakazi waitupie jicho LAKE OIL kwa vitendo vya unyanyasaji wafanyakazi hasa madereva na kwa wataalam wa sheria pia watusaidie juu ya kumfunga mtu ughaibuni tena bila maelezo yoyote.
Meneja wa hii kampuni anaitwa ndugu ahmed na mkurugenzi wake ni ndugu alliy.
Karibuni wadau.
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,155
Likes
40,539
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,155 40,539 280
Hii kjampuni si inahusishwa na yule bilionea wa JUMBA JEUPE !!!!!!!!!!!!!!!
 
trachomatis

trachomatis

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2011
Messages
3,670
Likes
124
Points
160
trachomatis

trachomatis

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2011
3,670 124 160
Hivi keshakuwa bilionea tayari!@Bujibuji
 
G

Gagso

Member
Joined
Apr 16, 2012
Messages
58
Likes
0
Points
0
G

Gagso

Member
Joined Apr 16, 2012
58 0 0
daa.mbona kazi.yan hiyo kampun kuna mshikaji wangu anafanya kazi kwny hayo magari.ok mungu ambarikia asipate hilo tatizo
 
mizambwa

mizambwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2008
Messages
4,435
Likes
592
Points
280
mizambwa

mizambwa

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2008
4,435 592 280
ndugu zanguni kama kuna kampuni inaendeshwa kihuni basi kampuni ya mafuta ya lake oil haina mfano.kampuni hii licha ya kukosa utaratibu maalum wa kazi hali inayoonyesha haina uongozi wenye akili timamu,madereva wanaosafirisha mafuta ktk nchi za kongo,zambia,Rwanda,Burundi nk wamekuwa wakiwekwa ndani ktk nchi hizo za ugenini kwa kisingizio cha kukutwa na hasara ya mafuta. nimeliweka hili hapa jamvini ili kama kuna wadau wa haki za wafanyakazi waitupie jicho LAKE OIL kwa vitendo vya unyanyasaji wafanyakazi hasa madereva na kwa wataalam wa sheria pia watusaidie juu ya kumfunga mtu ughaibuni tena bila maelezo yoyote.
Meneja wa hii kampuni anaitwa ndugu ahmed na mkurugenzi wake ni ndugu alliy.
Karibuni wadau.

INANIUMA SANA HII TAARIFA!!!


Kwani hawa Madereva wa Magari makubwa si WANA CHAMA CHAO CHA MADEREVA.

Nini wajibu wa Chama hicho ambapo madereva wote wanalipia ada na kiingilio pamoja na michango mingi tu. Hapa ndipo pa kupigania haki za madereva, au hiki chama ni kwa ajili ya kuitisha migomo kule Tunduma na Misugusugu tu.

CHAMA CHA MADEREVA NA SUMATRA WAWAJIBIKE KWA HILI.MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 

Forum statistics

Threads 1,272,646
Members 490,095
Posts 30,455,941