Inakuwaje matukio/sherehe za kitaifa, Rais apewe salamu za Pongezi na sio Watanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inakuwaje matukio/sherehe za kitaifa, Rais apewe salamu za Pongezi na sio Watanzania?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Apr 25, 2012.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,240
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Imezoeleka kila kukiwa na sherehe za kitaifa, basi pongezi za sherehe hizo hutumwa mojakwamoja kwa rais hata kama hana uchungu na taifa husika! Iwe ni tukio la kusikitisha au kufurahisha likiwa la kitaifa basi rais wa nchi ndie hupewa pongezi!

  Mimi napingana na dhana hii, matukio ya kitaifa yawe ya wananchi hasa ktk zama za rais huyu asiejali taifa!

  Kwakuwa yeye ana nyota kali ya misiba, salamu zote zihusuzo misiba ziwe zinapelekwa kwake na matukio mengine muhimu ya kitaifa yawe ya wananchi tu!
   
 2. C

  Che-lee JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Peleka hayo mawazo Tume ya Warioba!
   
Loading...