Wanajumuiya ya chuo UAILIMU Mtwara leo asubuhi tumepata msiba wa kijana mwenzetu AMABKISYE MWAKASASA mwananfunzi wa mwaka wa kwanza (DIPLOMA YA UALIMU) kilichotokea usiku wa kuamkia leo katika...
Eti kuna jamaa kaja hapa ofisini leo anatafuta watu ambao walisomeshwa kwa Mkpo wanataka waanze kuwakata, mbona hawa wezi wao wanaachwa huru? Sijui niwajibuje hata sielewi?
Wana JF kama mnakumbuka wingi wa polisi na Magari ya Maji ya kuwasha yalivyojaa pale Arusha siku mbili kabla ya hukumu ya Lema kwa ajili ya Kumvua Ubunge.
Sasa Magari hayo na polisi hao...
Baba mzazi wa Kanumba anaeishi Shinyanga ambae alishindwa kuja msibani kutokana na kuumwa, amezungumza na kusema kwamba sasa yuko tayari kuja Dar es salaam kushughulikia swala la Mirathi...
Heshima kwenu wana Jf.
Nilikuwa kwenye foleni asubuhi hii ya leo mara nikaona basi ambalo ni la uda. Sasa wakuu kilicho nikera sana ni kwamba hili gari lipo kwenye foleni ila watu waliopo hata...
Habari wanaccm wenzangu!
Najua tuna kazi nzito ya kukitokomeza chama mufilisi CDM ambacho kinajifanya ni cha wananchi kumbe ni cha watu wachache wenye maslahi binafsi ya kuatafuna ruzuku na...
Nostradamus ni jina la kilatini alilopewa mfaransa Michel de Nostredame kama ambavyo ndugu yetu Hashim Thabit anavyojulikana leo kwa jina la Hasheem Thebeet. Mtu huyu anakumbukwa zaidi katika...
Tovuti ya Wizara ya Sheria na Katiba; Wizara iliyochini ya Dr Celina Kombani, www.sheria.go.tz kuna link inayoonyesha picha chafu za ngono.... INANIUMA SANA, SIJUI TZ NI NCHI YA AINA GANI... AIBU...
Nasari apokewa na watazamaji kama mbunge wa Arusha mjini rasmi, Mbunge wa Arusha mjini Mh Kamanda Nasari alieingia kwania ya kuangalia pambano la Yanga na JKT Oljoro aligeuka lulu baada ya kila...
Neville Meena, Blantyre
AFRIKA Kusini imetoa msaada wa lita 30 milioni za mafuta kwa Malawi, hivyo kuongeza mashaka kwa wanaofuatilia uhusiano unaokuwa haraka baina ya nchi hizo ulioanza...
Ni mara chache kwa vivutio vyetu kupata coverage kwenye habari za kimataifa kama habari. Leo BBC wametoa 'Tanzania's Mahale Mountains National Park'
check BBC - Travel - Tanzania?s Mahale...
Nina hakika mbali na watuhumiwa wa ufisadi katika bunge lililopota, wapo viongozi wengi walioficha pesa chafu majumbani mwao hasa mitaa iliyotajwa hapo juu kama alivyofanya aliyekuwa Raisi wa...
naendelea kusikitishwa na kampuni ya startym ambayo inatupatia huduma,leo eneo linalotuzunguka limekata mawasiliano ukipiga customer care wanakuambia chukua remote weka kwenye siginal geuzia...
Naomba kuwaasa Tanesco kuleni haraka kwani dawa yaja
Angalieni TTCL nguzo ilikuwa ikidondoka wanakusema na hawairudishi mapema
Leo wanacholeta wananchi wanakikataa kwanini hamuoni?
Je mwasubiri...
Let me talk this after seeing what mr jk has done to prisoner,I was watching newz and what I saw it was the forgiveness that mr jk gave different prisoner like HIV victim,those women who were...
Habari, nimeangalia Televisheni leo wakati wa Habari, nimeshangazwa na baadhi ya matangazo mengi yametoka nje ya mipaka hususani Afrika Kusini ila wameingiza maneno mfano haya ya sabuni ya Omo na...
Hivi mpaka wahamiaji haramu wagome huko Mbinga, Songea kwa shinikizo la kurudishwa kwao, Serikali iko wapi? Nani analipia hizo Drip walizotundikiwa hao waliogoma, vitanda na huduma...
Suala hili linashangaza, Magari mengi yanayotembea barabarani ni mabovu hasa daladala lakini Polisi wanajisifia kwamba wabakagua magari yote na kuyapa stika ya ubora! Hivi ni kigezo kipi wanatumia...