Tanzia: Mtwara ttc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzia: Mtwara ttc

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tisa desemba, Apr 27, 2012.

 1. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Wanajumuiya ya chuo UAILIMU Mtwara leo asubuhi tumepata msiba wa kijana mwenzetu AMABKISYE MWAKASASA mwananfunzi wa mwaka wa kwanza (DIPLOMA YA UALIMU) kilichotokea usiku wa kuamkia leo katika hospital ya MUHIMBILI alikopelekwa kwa ajili ya matibabu ya matatizo ya moyo.

  Mbali na kuwa mwalimu tarajali, marehemu alikuwa mstari wa mbele katika masuala ya vuguvugu la ukombozi wa nchi hii, alijulikana sana kwa namna alivyokuwa akihoji mambo mbalimbali hapa chuoni hasa yaliyokuwa yakienda kinyume na haki, pia ushiriki wake katika masuala ya siasa nje ya chuo.

  hakika wana Mtwara ttc TUMEMPOTEZA MPIGANAJI MAKINI.

  "BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE".
   
 2. s

  sawabho JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Rip ambakisye mwakasasa!!!
   
 3. B

  Buto JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  R.I.P Mwalimu
   
Loading...