Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leading story ya leo eti wanafunzi vyuo vikuu na maudhui ya kumpongeza JK wakati jana Nape aliwachukua wanafunzi wa chuo cha mapishi cha Datastar na kuwapa buku kumi.hawafiki hata 15..imekaaje?
1 Reactions
26 Replies
4K Views
7 Reactions
14 Replies
3K Views
Hivi Tunavumilia kuwa Watanzania Au Tunajivunia Watanzania ???!! ;guidê lines maisha ya mtanzania wa hali ya chini
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu siku si nyingi nimepita njia hii Dar-Tunduma,eneo la Kitonga vibao vyote vya alama za barabarani vilivyokuwa vinaonyesha na kuhadharisha hali ya barabara kama,kona kali nk vimeondolewa/ibwa...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), imesema awamu ya kwanza ya Vitambulisho vya Taifa imekamilika na vitaanza kutolewa mapema mwezi ujao (May). Imesema kuwa uzinduzi wa kutoa vitambulisho...
2 Reactions
46 Replies
8K Views
niko kibosho jimbo la mbunge wa ccm siril chami barabara inajengwa kisa kuna ziara ya rais jk,2010 alikuja kufungua kituo cha polisi okaoni akahaidi barabara na mkandarasi akijitokeza na kuhaidi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Imetokea jana maeneo ya magomeni barabara ya magomeni kondoa. Jamaa alikuwa anaendesha gari kwa mwendo mkali, fujo, mbwembwe huku akiliyumbisha barabarani. Kaenda hivyo huku akiwakosakosa watembea...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimesoma bango moja linalotengenezwa kwaajili ya maandamano ya kesho siku ya wafanyakazi nikakutana na ujumbe huu "mshahara duni.kodi kubwa na mfumuko wa bei ni pigo kwa wafanya kazi"nahisi ujumbe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima mbele wakuu. Katika pita pita zangu huku nimekutana na taarifa ambazo zinaonyesha uwezekano wa mvua kubwa kunyesha Dar es Salaam na maaneo ya karibu. Nimefuatilia habari kwa karibu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwanza napenda kumpongeza sana waziri wa mambo ya nje bw. Bernad Membe. Hajawahi kuwa na kashfa nzito kama hizi zinazopelekea mheshimiwa rais kupangua tena baraza la mawaziri. Kwa upande wake...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
This is the moment a pride of hungry lions had to turn on their tails and flee after the herd of buffalo they were eyeing up for dinner gave chase. Wildlife photographer Brendon Cremer captured...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jamvi hivi pressure cooker yaweza chemsha maji?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Walaka huu ukuendee ewe"IGP MWEMA"kisha uingiwe na moyo wa huruma. Mh IGP hivi karibuni nilitembelea mkoa wa morogoro ktk shughuri zangu binafsi. Nikiwa morogoro nilitembelea maeneo ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tarehe 28/04/2012, ni siku ambayo sintoisahau kwa jinsi nilivyoteswa na kampuni ya usafiri wa anga ya Prescion air. Nilifika uwanja wa ndege wa Mombasa saa nne asubuhi, tayari kwa kuruka na ndege...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo ni zaidi ya wiki sasa watu wanaenda kucheck afya ktk vituo hivi na kukutana na maelezo hatupimi tumeishiwa dawa, nilikuwa nasikia habari hii kwa muda ila leo nimethibitsha mwenyewe baada ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chadema, Kata ya Usa River, wilayani Arumeru, Mkoa wa Arusha, Msafiri Mbwambo, (32) mkazi wa Lake Tatu, ameuawa kinyama kwa kuchinjwa shingoni kuanzia upande wa nyuma lakini wakiacha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kumetokea ajali mbaya karibu na eneo alilopata ajali regia mtema ambapo coaster yenye abiria iliyokua inatoka mlandizi kwenda moro imegongana na lori la mafuta.watu watano wamefariki na majeruhi...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Nimekuja kulipia bili yangu hapa TANESCO Mikocheni. Sehemu ya malipo yuko bibi yetu ndo anatoa huduma. Kimsingi kwa umri wake,lazima atakuwa amestaafu na yuko kwa mkataba. She is damn slow! Niko...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Je habari hii ina ukweli au kutafuta vichwa vya kuuza magazeti?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Uhuru wa Mahakama ndo huu juzi nilitoka kuzungumzia hili kuwa Mahakama ni muhimili wa Dola unaojitegemea kwa maamuzi yake. Juzi Tundu Lissu(Chadema) alishinda kesi yake ya Uchaguzi bt hii leo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom