Hatari Mlima Kitonga! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatari Mlima Kitonga!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kassim Awadh, Apr 30, 2012.

 1. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 888
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wakuu siku si nyingi nimepita njia hii Dar-Tunduma,eneo la Kitonga vibao vyote vya alama za barabarani vilivyokuwa vinaonyesha na kuhadharisha hali ya barabara kama,kona kali nk vimeondolewa/ibwa. Naiona hatari inayokuja kwa madereva wageni wa njia kupata matatizo kwa kukosekana alama za tahadhari eneo hilo lenye mteremko mkali. Ni biashara ya chuma chakavu? Tanroads mkoa Iringa mpo?
   
 2. iron2012

  iron2012 JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 355
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  ajali zitaongezeka tanroad chukua hatua
   
 3. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,025
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  kwa jinsi kitonga ilivyo hamna haja ya vibao coz yenyewe inajionyesha ni hatari.
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,275
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  Watu wanaendeshea uzoefu apo!
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 60,014
  Likes Received: 37,955
  Trophy Points: 280
  ...pale mahala panatisha sana.
   
 6. Michese

  Michese JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hatari sana hiyo,tanroads iringa wangechukua hatua za haraka
   
 7. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Jambo moja huwa nashangaa,,watendaji hawa wana vitendea kazi vyote mpaka gari VX la meneja mkoa tanroads kumwezesha kutembelea barabara zote chini yake lkn wap! mpaka yatokee madhara ndo wanastuka! Huwa nakumbuka hata shimo lililosababisha ajali ya Dr mwakyembe mlima Ihemi,mara baada ya ajali lilizibwa fasta!
   
 8. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,823
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Tuangalie pande zote, ikiwa kila Tanroad wakiweka alama vibao vinaondolewa, vinaibwa, wafanye nini?
  Tuchangie na mawazo mbadala ya kukomesha wizi pia.
   
 9. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #9
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 3,949
  Likes Received: 1,657
  Trophy Points: 280
  ...labda viwekwe vya plastiki.
   
 10. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #10
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  ni barabara zote tanzania
   
 11. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #11
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,823
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Ikiwa Waswahili wamekusudia uharibifu, wataving'oa na kuvitumia kwa kuzolea mavi ya kuku.
   
 12. S

  Sting007 JF-Expert Member

  #12
  Apr 30, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 272
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Badala ya kuweka vya chuma Waweke vya Zege.
   
 13. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #13
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,966
  Likes Received: 1,163
  Trophy Points: 280
  Yaah! Hapo umeongea. Nimeona mhandisi aliyejenga barabara ya tabora- shinyanga-mwanza kaweka vya zege na vimedumu hadi leo. So nadhani itasaidia sana
   
 14. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #14
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,842
  Likes Received: 5,100
  Trophy Points: 280
  au hujui kuwa plastic nayo dili??
   
 15. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #15
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,842
  Likes Received: 5,100
  Trophy Points: 280
  hii nzuri mkuu nimeipenda itahitajika repair ya kuvipaka rangi mara kwa mara.
   
 16. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #16
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,146
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
  Wa-Tz sisi wajinga sana kwa kila eneo yaani hatufai! Hivi navyo mkuu wanabandua vile vibati wanapeleka kwenye vyuma chakavu. Nzega-Shy-Mza zimebaki nguzo nyingi sana hazina alama hasa eneo la mkoa wa Shinyanga. Tanroads waweke sheria kali ikipotea alama 1 tu wenye viwanda vya nondo eneo hilo wanalipishwa hao ndo wanavnunua
   
 17. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #17
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,823
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hii biashara ya vyuma chakavu na uharibifu wa makusudi wa mali za umma (mara nyengine kwa uharibifu tu kama vile kung'oa vibanda vya simu na posta), uko sehemu nyingi ulimwenguni ambako hakuna sheria au zikiweko hazitekelezwi.

  Tatizo ni hilo la kutokuwa imara na sheria zetu. Bado nakumbuka kesi ya mtoto wa Kimarekani aliyekamatwa anatema ubani barabarani Singapore, ambapo adhabu yake ni viboko. Rais Clinton alipoingilia kati kumtetea raia wake walimwambia, hii ndio sheria yetu, hata wewe ukija ukafanyanya hivyo hivyo tutakuchapa. Kwa ufupi, tuwe na sheria kali na tuzitekeleze, ili mtu afikiri mara 100 kabla hajafanya ujinga wake.
   
 18. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #18
  May 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,202
  Likes Received: 1,600
  Trophy Points: 280
  Na ile lami ilivyotandikwa kama mkeka! Kwa kweli nahofia speed zaidi. Heko kwa wale polisi wanaovizia pale kati na tochi yao, mweh!
   
 19. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #19
  May 1, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 630
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  *

  Madereva wa Zambia wanapagwaya noummer
   
 20. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #20
  May 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160


  Yani haya yote ni maisha kuwa magumu tu!
  Pale panatisha sana Kiongozi!
   
Loading...