TANESCO Mikocheni hovyo

TOWASHI

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
294
181
Nimekuja kulipia bili yangu hapa TANESCO Mikocheni. Sehemu ya malipo yuko bibi yetu ndo anatoa huduma.
Kimsingi kwa umri wake,lazima atakuwa amestaafu na yuko kwa mkataba. She is damn slow! Niko kwa zaidi ya saa moja kwenye foleni.
Meneja, hebu weka mtu mwenye damu changa. Tupoteze muda kwenye foleni za magari na hata kwenye kulipa tena?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom