Ajali mbaya mlandizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali mbaya mlandizi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Adolph, Apr 29, 2012.

 1. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Kumetokea ajali mbaya karibu na eneo alilopata ajali regia mtema ambapo coaster yenye abiria iliyokua inatoka mlandizi kwenda moro imegongana na lori la mafuta.watu watano wamefariki na majeruhi wanakimbizwa tumbi
   
 2. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Dah pole zao
   
 3. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wote waliofariki R.I.P
   
 4. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,753
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Duuh na hii hali ya hewa inafanya wababa wengi haswa Madereva kukimbiza Magari sijui wanawahi wapi?
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  CAG na taarifa yake
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mungu wangu ajali mbona zinatumaliza waTz Mungu tunusuru ktk hili janga jingine
   
 7. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,870
  Likes Received: 1,559
  Trophy Points: 280
  Mweeh! Hilo eneo linatakiwa lifanyiwe upanuzi mkubwa kama alivyoshauri padri karugendo kwenye makala yake baada ya kifo cha Mh regia.
   
 8. e

  edwin m.mulokozi New Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :A S-heart-2:God bless our life for no body knows when will it be ?
   
 9. Babjaj

  Babjaj Member

  #9
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  :dizzy: Ooooh Adolph poleni sana kwa tukio hilo:dizzy:
   
 10. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,041
  Likes Received: 6,478
  Trophy Points: 280
  Poleni wahanga wote.
   
 11. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Tatizoni bara bara au Maderevu wetu ni vilaza? Hayo mambo yataisha lini
   
 12. M

  Mkaka Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Duuh R.I.P. kwa wote waliokufa. Mungu Awape uponaji wa haraka majeruhi wote.
   
 13. S

  SKIDDO New Member

  #13
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole kwa kila mwana jamii atakayeguswa na misiba hiyo popote alipo. Mungu ailaze pema miili ya marehemu wote na kuwapa kupona haraka majeruhi wote.
   
 14. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mkazi wa mlandizi hilo eneo lami yake ni mbovu ina mabonde pale chini ya kituo cha polisi mpaka ruvu darajani. RIP wote waliotangulia na majerui wote waponywe.
   
 15. n

  ngarambe Senior Member

  #15
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Da,,,,,,, pia nilikua nimekaa ndani gafla nikaskia kelele barabarani mida ya saa moja kumbe ajali ya pikipiki wao wameumia tu sana,,,,,, da! Waliopoteza maisha wapumzike kwa amani. Tuwe makini ktk vyombo hivi vya moto. Very dangerous
   
 16. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #16
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,834
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Hilo eneo kuanzia mlandizi hadi chalinze ni baya sana!! Watu wengi wamekufa, watu wanasubiri hadi danida watoe msaada!! Duh sasa sisi watanzania kwa nini tunalipa kodi? Waziri ananunu nyumba $ 410,000!! Hakuna wa kumuuliza katoa wapi? Je barabara itajengeka?
   
 17. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #17
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Tatizo kubwa bado naliona kwa madereva wetu, coaster dar-moro means anapita barabara hiyo karibia siku zote,anaielewa vzuri ilivo,kwann asichukue tahadhari? anyway madereva wengi including huyo wa tanker pia hawafuati alama za barabarani ambazo nyingiwazo pia zishaondolewa na wauza chuma chakavu
   
 18. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #18
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Nawatakia moyo wa subira wafiwa na uponyaji kwa majeruhi.
   
Loading...