ujio wa raisi barabara inatengenezwa

chimpa100

Member
Mar 28, 2012
44
5
niko kibosho jimbo la mbunge wa ccm siril chami barabara inajengwa kisa kuna ziara ya rais jk,2010 alikuja kufungua kituo cha polisi okaoni akahaidi barabara na mkandarasi akijitokeza na kuhaidi ingekamilika baada ya miezi sita alipoondoka mpaka sasa ndo wanamwaga vifusi hii ni halali kwel
 
Hiyo si halali kabisa, chukuwa hatua za kisheria, au unaweza kususa na kulala barabarani ili wasiendelee na ujenzi.
 
niko kibosho jimbo la mbunge wa ccm siril chami barabara inajengwa kisa kuna ziara ya rais jk,2010 alikuja kufungua kituo cha polisi okaoni akahaidi barabara na mkandarasi akijitokeza na kuhaidi ingekamilika baada ya miezi sita alipoondoka mpaka sasa ndo wanamwaga vifusi hii ni halali kwel

nimeona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom