Kuna nini UPIMAJI H I V vituo vya afya vya serikali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna nini UPIMAJI H I V vituo vya afya vya serikali?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Emmanuel_mtui, Apr 30, 2012.

 1. E

  Emmanuel_mtui Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Leo ni zaidi ya wiki sasa watu wanaenda kucheck afya ktk vituo hivi na kukutana na maelezo hatupimi tumeishiwa dawa, nilikuwa nasikia habari hii kwa muda ila leo nimethibitsha mwenyewe baada ya kwenda kituo cha afya tabata na kukutana na maelezo hayo , Je kwa hali hii Tanzania bila ukimwi inawezekana?
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  labda wamefulia
   
 3. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  serikali haina pesa ziko kwenye mifuko ya mafisadi

  fanya mpango uende india
   
 4. E

  Emmanuel_mtui Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sasa ndugu yangu kwani kwenda india we umeon issue,? Issue je wa tz na afya bora vipi, kwani baada tu ya kituo cha afya tbt kuna hospial moja inaitwaMADONA, walilihudumia vizuru ingawa gharama kubwa nawapa big up, WASIO NA UWEZO JE?;(;(
   
 5. E

  Emmanuel_mtui Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  samahani bana nilikuwa najibu hoja yako nikajibu kwa thread ya kiduku kwa bahati mbaya, ila sijachoka naomba usome hapo utaniambia
   
 6. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,169
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Hongera kwa kua HIV negative. Am sure ungekua positive hata kufungua hii post kungekushinda labda baada ya masiku kupita.
  Hilo ssssssssssuala unalosema ni kweli, hata mie ishawahi nikuta....Nilisikia na wala sijathibitisha vipimiaji viligundulika ni feki. Ilibidi virudishwe hukohuko
  Tetesi zaidi ni kua kama ni kweli basi majibu ya HIV ya wadanganyika wengi waliopima siku za nyuma ni ya kizushi. Ikimaanisha yaezekana mtu kapima kaambiwa + kumbe ni - and vice versa.

  Mwenye uhakika amwage data mi nimesikia tu mambo ya kizushi kama hayo
   
Loading...