Dira - Nape anasurika kuuawa kwa sumu

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
SAM_1162.JPG


Je habari hii ina ukweli au kutafuta vichwa vya kuuza magazeti?
 
Kuuwawa au kujiua hapo kuna tatizo kdg atkw alikunywa sum ya panya baada ya kuskia kifo cha msanii mwenzake Kanumba
 
Siku zake zinaesabika kama vipi atafute hati ya kuwa mkimbizi wa kisiasa nchini Zanzibar atapokelewa
 
Anataka kupandisha grafu ya umaarufu, hana impact yoyote ktk jamii
 
Huyo ni kama gunia tupu ambalo haliwezi kusimama peke yake bila kushikiliwa
 
Back
Top Bottom