Kwa Watanzania wote !!

Kwa Watanzania wote !!

edwin monyo

Member
Joined
Apr 24, 2012
Posts
40
Reaction score
7
Hivi Tunavumilia kuwa Watanzania Au Tunajivunia Watanzania ???!!
;guidê lines maisha ya mtanzania wa hali ya chini
 
Hapa bwana tunajivunia kuitwa watanzania,tunajivumilia pia kuitwa wadanganyika kwa sababu tumeshadanganywa mengi especially na hao wabunge wetu a.k.a wazee wa posho,kila ahadi nyiiiingi maendeleo hkn,halafu wanasema maisha bora kwa kila mtanzania wizi mtupu......
 
Back
Top Bottom