Sifa za Kijinga

Goodrich

JF-Expert Member
Jan 29, 2012
2,091
1,177
Imetokea jana maeneo ya magomeni barabara ya magomeni kondoa.
Jamaa alikuwa anaendesha gari kwa mwendo mkali, fujo, mbwembwe huku akiliyumbisha barabarani.
Kaenda hivyo huku akiwakosakosa watembea kwa miguu na magari mengine, hatimaye akatumbukia mtaroni.

Photo-0061.jpg
Photo-0060.jpg
 
Goodrich kwa kweli usingeweka hii picha ningejuwa unamsema jamaa yangu mmoja kilichomtokea jana ni same story na hiki ulichokishuhudia, tofauti tu kwamba yeye alituingiza hasara kumchangia pesa kulipa gari ya mtu mwingine ambayo aliigonga.

kweli sifa za kijinga ni mbaya sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom