lukindo
JF-Expert Member
- Mar 20, 2010
- 8,466
- 9,028
Heshima mbele wakuu.
Katika pita pita zangu huku nimekutana na taarifa ambazo zinaonyesha uwezekano wa mvua kubwa kunyesha Dar es Salaam na maaneo ya karibu.
Nimefuatilia habari kwa karibu lakini sijaona tangazo lolote au onyo kutoka Mamlaka yetu ya hali ya hewa.
Ni vizuri tukachukua taadhari mapema ili ikitokea isije kuwa kama December iliyopita.
Zaidi angalia hii link: BBC Weather : Dar es Salaam