Wafanyakazi wataiambia nini serikali yao kesho? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafanyakazi wataiambia nini serikali yao kesho?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by muislamsafi, Apr 30, 2012.

 1. m

  muislamsafi Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimesoma bango moja linalotengenezwa kwaajili ya maandamano ya kesho
  siku ya wafanyakazi nikakutana na ujumbe huu "mshahara duni.kodi kubwa
  na mfumuko wa bei ni pigo kwa wafanya kazi"
  nahisi ujumbe huu unaelekezwa
  kwa serikali.

  My take: kama wafanya kazi wa serikali wanaona kuwa mshahara ni duni kodi ni kubwa
  na mfumuko wa bei nawanaweza kuieleza serikali katika maandamano hayo rasmi basi nao wamechoka
  na sisiemu inakufa mbaya kabisa
  original
   
 2. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kwa kweli kodi za mishahara zinawahujumu wafanyakazi, ni kama wizi wa mchana. Serikali imeona sehemu ya kupata pesa za uhakika ni kutoka kwenye mishahara ya wafanyakazi. Yan mfanyakazi anayelipwa kamshahara cha >2m, analipa kodi kuzidi mfanyabishara mwenye turnover ya milioni 30 kwa mwezi. Kweli hii siyo haki kabisaa, nafikiri JK anawatesa wafanyakazi coz anajua wengi wao hawakumchagua. Sasa kama JK hawezi kuongeza mishahara basi apunguze kodi
   
 3. m

  muislamsafi Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wafanyakazi wamegeuzwa kuwa shamba la bibi
  kuweni ngangari jamani kama wafanyabiashara
   
 4. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Alishasema kuwa kura za wafanya kazi hazihitaji na kwa nini awajaliiiii??
   
Loading...