Tangu hali iwe tete, baadhi ya mawaziri, hasa walio na hali tete, wamekimbilia kwa waganga wa jadi ili kusafisha nyota na kupata mvuto.
CHANZO: JAMBOLEO
Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Said Mwema
Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Said Mwema, ameunda timu maalum ya operesheni na upelelezi kuongeza nguvu kwa polisi wa Mkoa wa Arusha pamoja na...
Ndugu wana JF na hasa wana CHADEMA,napenda kuwapongeza sana kwa matokeo mazuri na ya kutia moyo ya uchaguzi mdogo wa igunga.
binafsi naamini kuwa CHADEMA ndio walioshinda na hii ni kutokana na...
Je yaliyofanywa na baadhi ya mawaziri kwenye riport ya CAG kufisadi nchi ndiyo yalikuwa malengo ya semina elekezi ? na kama siyo je mamlaka yao ya nidhamu mbali na kuwaondoa kundini iwachukulie...
Huwa najiuliza sana pamoja na usanii wa kugawa uwaziri kwa mikoa bado wilaya ya ulanga imepata upendeleo wa kuwa na mawaziri wawili kombani na huyu wa afya lakin wameshindwa kutetea hata barabara...
Chanzo: mpayukaji blog
Tarehe 2 Mei duniani inatimiza mwaka mzima tangu kuuawa kwa kiongozi wa kundi la kigaidi
la Al Qaeda Osama bin Laden. Je dunia ni salama au mambo ni yale yale...
Nimeona habari tbc inasema Cheka kaibuka na ubingwa katika pambano la jana dhidi ya Mada Maugo. Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi hicho ni kipigo cha tatu mfululizo mada anakipata kutoka kwa...
Huduma za ATM kwa sasa zimesogezwa karibu yetu wateja,lakini sasa imekua adhabu kwakweli,me huwa najiuliza nini maana yake?wateja tunapata shida sana kwakweli,mfano leo ATM ZA CRDB ndo zimekua...
leo muda wa saa 5 kasoro 10,chanel ya TBC1,wamekata matangazo maksudi ili tusione hotuba ya mh.zitto kabwe na hili jambo linatokea mara kwa mara.mnaonaje kuhusu hili?ni nani anahusika kukata...
Kwa jinsi ninavyosoma kwenye vyombo vya habari (sijawahi hudhuria mahakamani), na kama kweli ndivyo ilivyo, nina wasiwasi ubunge wa Mnyika- Ubungo nao utatenguliwa. Sio kwa rushwa, matusi au kuiba...
Written by administrator // 01/05/2012 // Habari // No comments
Salma Said,
JUMUIYA ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar imetoa fomu maalumu ya kuorodheshwa idadi ya yatu wanaotaka...
Kwanza habari zenu wakuu !
Nianze moja kwa moja na mjadala, naamini wengi wetu tumeshuhudia sherehe hii ya wafanyakazi, tumeshuhudia jinsi wafanyakazi walivyoonesha kukata tamaa na hali halisi ya...
Kwakweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza...siku zooote tunaposikia misamaha ya kodi tunaelewa na ndivyo ilivyo there is some one who is paying that tax on behalf of the person who is...
Previously:
Mwenye taarifa kamili atujuze...................
Kama Dakika 30 zilizopita, tukio la wizi wa kutumia silaha limetokea maeneo ya Tabata Sanene karibu na Tusiime Sekondari ambapo...