Usugu wa tatizo la ATM za benki zetu hapa nchini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usugu wa tatizo la ATM za benki zetu hapa nchini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, May 1, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Huduma za ATM kwa sasa zimesogezwa karibu yetu wateja,lakini sasa imekua adhabu kwakweli,me huwa najiuliza nini maana yake?wateja tunapata shida sana kwakweli,mfano leo ATM ZA CRDB ndo zimekua zina usumbufu kwa maeneo meng jijini.

  Swala la kushangaza hapa hata upge simu hakuna great respönse kwakweli,sasa ndo najiuliza wahusika wanajua haya?maana c mara 1 au 2, na sio crdb tu, hata nmb, nbc, stanbic, maana hata jamb zangu wanatumia thoz benks na huwa nawaskia wakilaumu.
   
 2. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  mkuu tarehe mbaya hizi,systeam inakuwa overlooded...
   
 3. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  ATMA nyingi za hapa TZ ni mitumba so durability yake ni kizungumkuti
   
 4. S

  Supermwanangu Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu ni kweli nakuunga mkono maana sasa hivi ili linakuwa tatizo sugu sana. Bank inabidi ziwe makini na siku za mapumziko maana wateja tunateseka sana mpaka kupata karaha. Inatokea mara nyingi na unapopiga simu haupati msaada!!!!
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  U mean dunia nzima tarehe hizi ATM husumbua?
   
 6. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Pole Mkuu!!

  Jaribu kujiunga na SINBanking ya CRDB kwa kupiga *150*03# kutoka kwenye mtandao wowote, hasa Voda, halafu fuata maelekezo. Ukijiunga na hii kitu, utasahau maudhi ya ATM. Unakuwa na access ya account yako hata usiku ukilala kitandani kwako.
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  4 sure wateja wanapata shida sana,hapa ndo uta0na umuhmu wa kibuyu.UNA DHARURA,UNAHTAJ PESA NA HAKUNA HUDUMA,
   
 8. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Naongelea bongo mkuu,c unajua machine wanazotumia ni mtumba mkuu!
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  vipi atm za nmb?
   
 10. t

  thandiswa Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi natumia CRDB jamani hawa ndio sugu kabisa sijui wanafanya kazi gani,hivi ninampango wa kuhamia bank nyingine,maana Mastercard ndio kabisa kama jana jioni nimezunguka ATM nyingi mpk nilipowapigia wakanielekeza ambayo inafanya kazi,wanaboa kwakweli.
   
 11. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #11
  May 1, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wanatumia mtandao wa Satellite na Wireless angalia wenzao wa NMB mara baada ya kuboresha mitandao yao kwa kuweka Fibre na sasa wanapeta na ATM zao ziko fasteeeeer
   
 12. D

  Danvis Member

  #12
  May 1, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yan mm crdb atm kwa hapa dar ni atm moja tu inakubli kadi yangu hii ya master card zingne zote zinaitema.
   
 13. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  ATM za CRDB zote vimeo hasa ile ya pale sheli SINZA KIJIWENI! .....hakuna siku unaikuta haina matatizo.
   
Loading...