wazamiaji tuwafanye nini?

odinyo

JF-Expert Member
Feb 6, 2012
429
109
wakuu,

kila kikicha tunasikia Morogoro,Mufindi,mbeya n.k wakimbizi wa Ethiopia, Somalia nk, wamekamatwa.
wanawekwa rumande, wanahukumiwa, wanapewa msamaha/wanamaliza vifungo, hawarudishwi makwao wanagoma mpk wanafikia hawataki kula then tunawasumbua wakuu wetu kwenda kuongea/kuwabembeleza. je yote haya kuwakamata wakati twajua wao anapita tu kwenda zao kutafuta maisha nje ya TZ inasadia nn?


nionavyo inatuongezea gharama, tuweke sera yetu ya kimya kimya kuwaacha wapite zao ila tu tuhakikishe wanatoka nchini mwetu. je wenzangu mwaonaje?
 
Back
Top Bottom