Mwaka mmoja baada ya Osama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwaka mmoja baada ya Osama

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, May 2, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  [h=3]Chanzo: mpayukaji blog[/h]  • [​IMG]
  [​IMG][​IMG]
  [​IMG][​IMG][​IMG]
  [​IMG][​IMG]

  Tarehe 2 Mei duniani inatimiza mwaka mzima tangu kuuawa kwa kiongozi wa kundi la kigaidi
  la Al Qaeda Osama bin Laden. Je dunia ni salama au mambo ni yale yale? Swali hili ni muhimu
  hasa tunaposhuhudia magaidi na wauaji kama Boko Haram na Al Shabaab wakiendelea kuua watu wasio na hatia. Je dawa ya ugaidi ni kuwaua viongozi wa
  mitandao ya kigaidi tu au dunia kushirikiana kuhakikisha hawana mazaliwa popote pale juu ya ardhi? Je umefika wakati wa kujadiliana na magaidi ili kusikiliza upande wao wa hoja au kuendelea kutumia misuli kupambana nao?​

  • [​IMG]
   
Loading...