Mtoto wa Mkulima kuna uwezekano atapigwa chini?

Godwishes

JF-Expert Member
Aug 26, 2011
640
165
Wakuu,am sor,hivi Waziri Mkuu na mwenyewe atapigwa chini?NAJUA anachaguliwa na wabunge.Je na mwenyewe yuko kwenye Danger Zone?
 
hapigwi, hana tatizo, anakubalika, hakuna kashfa yoyote aliyonayo. Ni safi kuliko wote kwa Magamba
 
Garbage in....garbage out.,apumzike ka vp maana kj anamdharau sana.
 
yeye ni negative picha kamili ni jk so inakuitaji kukodoa macho sana kuweza kumtambua
 
Let him go,he is good for nothing... loser!
Kama siyo hichi kiTECNO changu ningekugongea like!! Kabembe
Akigo what will be next? au unataka aende ili upate chance na wewe ya kufisadi?. Ovyo kabisa.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Povu la nini sasa?! .... mi naona bora atolewe tu! kwanza waziri gani ana sura mbaya vile!!
 
Last edited by a moderator:
Jamani Mh Pinda hana tatizo ata kidogo kumbukeni hawezi kuamua jambo lolote kubwa bila kumshirikisha Mh Raisi,kwa hawa walioteuliwa na raisi ni vigumu kabisa kuwatimua pasipo kumshirikisha raisi,tukumbuke wakati ule Lowasa alipokuwa waziri mkuu alipotaka kumzingua mkurugenzi mkuu wa Tanesco Mh Idrissa Rashidi,Mh Rashidi alimgomea na kumwambia aliyekuteua wewe Mh Lowasa ndiye aliyeniteua mimi haunitishi kwa lolote na hapo baadae kweli Mh raisi alimkingia kifua Mh Rashidi na kukataa barua yake ya kujiuzulu hapo Mh Lowasa akapwaya na kuonekana si lolote, katika maamuzi makubwa kama haya yaliyomkuta Mh Pinda lazima amshirikishe Mh raisi akienda kinyume wanaweza kukosana na mkumbuke kwa katiba tuliyonayo nguvu ya raisi ni kubwa na haimpi waziri mkuu madaraka makubwa ya kufanya maamuzi moja kwa moja bila kuingiliwa na Mh raisi kama yalivyomkuta Lowasa kwa Idrisa Rashidi ,tusimlaumu ata kidogo Mh Pinda mfumo wetu wa uongozi ndiyo haujakaa vizuri,Mh Pinda ni muadilifu na muwajibikaji mzuri!
 
Kama siyo hichi kiTECNO changu ningekugongea like!! Kabembe


Povu la nini sasa?! .... mi naona bora atolewe tu! kwanza waziri gani ana sura mbaya vile!!
uongozi si sura ungekuwa sura basi baba yako angekuwa kiongozi kwa taifa hili,acha mambo yako ya kitoto watu wanapojadiliana mambo ya msingi kwa maendeleo ya taifa letu huna la kuchangia kaa kimya,Shabashiiiiiiiiii!
 
Last edited by a moderator:
hapigwi, hana tatizo, anakubalika, hakuna kashfa yoyote aliyonayo. Ni safi kuliko wote kwa Magamba

Ila Ijulikane watu wanaiba kwa sababu Hawamuogopi kwa lolote!! Na yeye pia ni Gamba!! Usafi wake Hatusaidii sana kama utendaji Hauonekani!!
 
Back
Top Bottom