Ndugu wana JF na hasa wana CHADEMA,napenda kuwapongeza sana kwa matokeo mazuri na ya kutia moyo ya uchaguzi mdogo wa igunga.
binafsi naamini kuwa CHADEMA ndio walioshinda na hii ni kutokana na historia ya CCM kuchakachua kura na hivyo ninaamini kabisa kuwa hiyo tofauti ndogo ilipo kati ya kura za mgombea wa ccm na wa CHADEMA huenda imetokana na uchakachuaji kwa namna moja ama nyingine,mathalan kuweka masanduku feki ya kura,kununua shahada za wapiga kura wasiojua thamani ya kura zao n.k.
matokeo hayo yameniongezea mapenzi yangu kwa chadema na sasa natamani kuujua wimbo wa chadema na niweze kuwa nauimba mara kwa mara ninapojisikia...
kama wimbo huu haupo
,naomba utungwe tena kwa umahiri mkubwa na tuwe tunauimba kwenye kampeni zetu..
nawasilisha.
chadema oyeeeee! mageuzi daima.