Mawaziri wawili komban na mponda kwny wilaya moja maendeleo duni

ELIESKIA

Senior Member
Jul 21, 2011
120
15
Huwa najiuliza sana pamoja na usanii wa kugawa uwaziri kwa mikoa bado wilaya ya ulanga imepata upendeleo wa kuwa na mawaziri wawili kombani na huyu wa afya lakin wameshindwa kutetea hata barabara ya kutoka kilombero ifakar mpka ulanga .wanadhan 2015 ni mbali. kwel mawazir kama hawa ni mzigo kwa jimbo na taifa
 
Bado kitambo kidogo tu mtapata maendeleo. Niliona taarifa ya habr barabara bado ileile ya zama za mawe. Kwenye baraza jipya wote hawatakuwemo hao. Huyo mama alilishwa kasa na Jk akatangaze eti hakuna katiba mpya, itawekwa viraka hyhy ya zamani. Kesho yake JK magazetiniii anatangaza kuunda katiba mpya. Achana na ****** ww. Huyo mwingne ndio kabsa ameuonja uwazr shortly.k
 
Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu. (Mambo ya Walawi 11:07-08)
 
Kama vp mtolee uvivu huyu Bi Kombani kwa CDM ang'oke pale 2015 pale U/mash.Kwa huku U/magharibi tayari kuna vjana wameshajipanga kumwangusha yeyote atayeletwa na magamba 2015
 
Bado kitambo kidogo tu mtapata maendeleo. Niliona taarifa ya habr barabara bado ileile ya zama za mawe. Kwenye baraza jipya wote hawatakuwemo hao. Huyo mama alilishwa kasa na Jk akatangaze eti hakuna katiba mpya, itawekwa viraka hyhy ya zamani. Kesho yake JK magazetiniii anatangaza kuunda katiba mpya. Achana na ****** ww. Huyo mwingne ndio kabsa ameuonja uwazr shortly.k

Halafu mchizi anamajibu ya ovyo hadi kwa wananchi jimboni.Watu wamemchoka ile mbaya.Msistaajabu kusikia naye kapopolewa mawe kama yule wa Geita
 
Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu. (Mambo ya Walawi 11:07-08)

Aisee umepotea njia au mi ndo kilaza ?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom