Lipumba Achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Uchumi wa Duniani

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Prof.Ibrahim Lipumba Alitikisa Jiji la Dar

6302634.jpg

mapokezi ya Prof.Lipumba
Sunday, March 11, 2012 12:52 PM
Prof.Ibrahimu Haruna Lipumba amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Uchumi Duniani.

Haikuwa kazi rahisi mpaka wazungu kumkubali na kumpa cheo hicho cha uenyekiti hii ilitokana na kumkubali kutokana na kuwa na uwezo mkubwa katika kuchanganua mambo yanayohusu uchumi wa dunia nini kifanyike katika kipindi hiki cha mfumuko wa bei kila kona duniani.

Katika mapokezi yake hapa Tanzania, jijini Dar es Salaam leo hii pande zote za nchi za Afrika zilituma wawakilishi wao katika kujumuika pamoja na watanzania katika kumpokea na kumpongeza Prof.Lipumba kwa kuchaguliwa kwake.

Hali ni tofauti kabisa hapa Tanzania kwani imekuwa ya kisiasa zaidi huku wakiachiwa wafuasi wa CUF wakijazana uwanja wa ndege.
 
Mwenyekiti wa uchumi wa dunia ndio nini? Manapoleta habari humu ndani mjue hatupo zama za TANU, weka source hayo unayosema.Profesa Lipumba alishasema nini kilimpeleka marekani msikilize hapa Mahojiano na Prof. Ibrahim Lipumba (Pt I) - YouTube .Ukitaka pia kuona ni watu wa aina gani waliochaguliwa na nchi zao bofya Activists and Scholars from Afghanistan, Russia, Colombia, Ethiopia Among New Class of NED Fellows « ethiotrade . Na presentation yake pia hapa From Ujamaa to Demokrasia: Reflecting on 50 Years of Independence in Tanzania and the Way Forward | National Endowment for Democracy kisha tuambie huo uenyekiti wa uchumi wa dunia uko wapi.Usicheze na wazungu wewe, angalia hao scholars na activists nchi wanazotoka tu utapata jibu.
 
mmmmh? Nafikiri aijenge tu CUF maana inamuhitaji zaidi ya huo unaouita uchumi wa dunia unavyo muhitaji yeye!
 
Kwenye hili suala kwa serikali yenye utimamu wa akili ingeonyesha ushirikiano wa hali na mali kwani ni sifa nzuri kwake na Tz kwa ujumla
 
Tuwe na uzalendo na tuweke pembeni itikadi zetu za kisiasa kwani tunaowatu ambao tungewatumia vema labda hata inflation inayotutesa ingelikuwa chini.
Kwa nchi kama USA watu km LIPUMBA wangelikuwa wanatumiwa na serikali ktk masuala anuai yahusuyo uchumi lkn kwa TZ yetu ni tofauti sn.
HONGERA PROF.LIPUMBA
 
simchukii prof kwqa maana ni wa ukwee.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
sio mbaya km kuna mtz anafanya vyema alafu siu itikasdi yako kwanini usimpongeze>?????
 
afadhali, atulie na majukumu ya uenyekiti..... Aache kugombea uraisi.... 1995-2010= miaka 15 mfuoulizo anagombea uraisi.........
 
tatizo tanzania siasa kwanza....watalamu na vipaji badae ccm imetuathiri sana kisaikojia.!
 
Prof.Ibrahim Lipumba Alitikisa Jiji la Dar

6302634.jpg

mapokezi ya Prof.Lipumba
Sunday, March 11, 2012 12:52 PM
Prof.Ibrahimu Haruna Lipumba amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Uchumi Duniani.
Prof.Ibrahimu Haruna Lipumba amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Uchumi Duniani.

Haikuwa kazi rahisi mpaka wazungu kumkubali na kumpa cheo hicho cha uenyekiti hii ilitokana na kumkubali kutokana na kuwa na uwezo mkubwa katika kuchanganua mambo yanayohusu uchumi wa dunia nini kifanyike katika kipindi hiki cha mfumuko wa bei kila kona duniani.

Katika mapokezi yake hapa Tanzania, jijini Dar es Salaam leo hii pande zote za nchi za Afrika zilituma wawakilishi wao katika kujumuika pamoja na watanzania katika kumpokea na kumpongeza Prof.Lipumba kwa kuchaguliwa kwake.

Hali ni tofauti kabisa hapa Tanzania kwani imekuwa ya kisiasa zaidi huku wakiachiwa wafuasi wa CUF wakijazana uwanja wa ndege.
kwa kizungu hicho cheo kinaitwa "ceremonial post"
 
Hivi, mtu kukubalika kwa wazungu ndicho kigezo cha umahiri? Ni swali tu.
 
Ukisoma hizi comment utajua kweli nabii akubariki kwao
Hapo Darwin niliona (TV)jinsi wazungu wanavyo muongelea Prf Lipumba kuwa muafrica mwenye uwezo mkubwa wa maswala ya kiuchumi duniani..mpka hii mijitu mishenzi inakusifia ujue wewe kichwa.Lakini Tza hata ukiwa kama malaika wewe shuwayni tuu
 
kwani aliacha kufundisha akaja kungangania siasa.
 
Kwa wanaomfahamu vyema huyu bwana Prof. LIPUMBA mtujuze kuhusu uchumi wake yeye mwenyewe na familia yake then tuanzie hapo kumpongeza. Kama wa kwake uko hati hati then wa nchi hatouweza.
 
Mwenyekiti wa uchumi wa dunia ndio nini? Manapoleta habari humu ndani mjue hatupo zama za TANU, weka source hayo unayosema.Profesa Lipumba alishasema nini kilimpeleka marekani msikilize hapa Mahojiano na Prof. Ibrahim Lipumba (Pt I) - YouTube .Ukitaka pia kuona ni watu wa aina gani waliochaguliwa na nchi zao bofya Activists and Scholars from Afghanistan, Russia, Colombia, Ethiopia Among New Class of NED Fellows « ethiotrade . Na presentation yake pia hapa From Ujamaa to Demokrasia: Reflecting on 50 Years of Independence in Tanzania and the Way Forward | National Endowment for Democracy kisha tuambie huo uenyekiti wa uchumi wa dunia uko wapi.Usicheze na wazungu wewe, angalia hao scholars na activists nchi wanazotoka tu utapata jibu.
Thank you, kungekuwa kuna Watanzania wanao question mambo kwa kukataa kubugia bugia mataarifa yasiyo na kichwa wala miguu kama mtu ishirini hivi nchi nzima, tungekuwa mbali sana as a nation.

"Mwenyekiti wa uchumi wa dunia" Mwenyekiti kutoka the poorest uchumi in the world?
 
Back
Top Bottom