Mawaziri wakimbilia kwa sangoma ili kutetea viti.

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,417
3,154
Tangu hali iwe tete, baadhi ya mawaziri, hasa walio na hali tete, wamekimbilia kwa waganga wa jadi ili kusafisha nyota na kupata mvuto.
CHANZO: JAMBOLEO
 
Tofautisha "mganga wa jadi" na "muaguzi".

Mmoja anatumia sayansi ya jadi mwingine tapeli. Ingawa mstari wa kuwatenga unaweza usiwe na makini sana.

Halafu.

Rais mtoto wa Bagamoyo ambako embe dodo ikianguka haiokotwi ovyo, Waziri Mkuu mtoto wa Sumbawanga ambako wazee wanatundika makoti hewani.

Sasa unakimbilia kwa mganga wa jadi wapi?
 
Wache waende kwa maji marefu masaburi yao yawe kitafunwa cha nyembe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom