Heko mkoa wa Kagera

Bishweko

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
3,281
2,423
Hili alina ubishi kuwa mkoa wa Kagera unastaili pongezi kwa kutoa viongozi wa ngazi za juu serikali.Katika serikali ya hawamu ya nne mkoa umetoa mawaziri shupavu wawili wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Tibaijuka na Maliasili na Utalii Kagasheki.
Heko wanakagera tunaweza kulifanyia vyema taifa letu la Tanzania.
 
Kwetu hukohuko lakini hili sijalitilia makini.Ishu ni utendaji, Over
 
Wahaya kwa kujimegea hawajambo,sasa mkija ukwaa uraisi au upm SI PATAKUWA HAPATOSHI NO WONDER MOLA ANATUEPUSHIA MBALI NA IZO POST
 
Cha msingi ni kwa hawa waheshimiwa kutumia uwezo wao wa ziada i.e simaanishi Nepotic decisions,la hasha,namaanisha personal credit kuitafutia Kagera chances za kutoka,mfano,utalii unahitajika sana na nimesikia mara kadha uongozi wa mkoa ukijaribu kubuni mikakati na fursa za kukuza utalii,sasa zamu yenu na kazi kwenu,watu mshapewa labda mshindwe wenyewe

Haitakuwa heshima wala maana endapo hatutaweza kutumia watu hawa katika kuendeleza utalii pamoja na kuupanga mji kisasa zaidi kwa kutumia upimaji wa viwanja na makazi kwa kuutumia utaalamu wa mama yetu Tibaijuka
 
Mikoa ya katavi na rukwa imelaaniwa?, pamoja na kumtoa waziri mkuu hakuna waziri mwingine: ndoo maana haina maendeleo?!, ni kweli haijaendelea?!, kigoma waziri mmoja tu?!, kuna waziri kutoka arusha?!
 
Hili alina ubishi kuwa mkoa wa Kagera unastaili pongezi kwa kutoa viongozi wa ngazi za juu serikali.Katika serikali ya hawamu ya nne mkoa umetoa mawaziri shupavu wawili wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Tibaijuka na Maliasili na Utalii Kagasheki.
Heko wanakagera tunaweza kulifanyia vyema taifa letu la Tanzania.

vita vya ukabila vikianza,tutaanza na nyinyi wajinga.
 
thread yako imenifanya nimubuke katuni flani anaitwa "zero" , big up bwana " zilo "
 
Back
Top Bottom