Tigo na biashara ya photocopy

BABA JUICE

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
426
52
Leo nimeenda mlimani city nilikuwa na tatizo na tigo pesa..line nimesajili lakini kufika pale nikaambiwa nitoe kitambulisho changu copy hapo hapo ndani kuna photocopy mashine na copy ni tsh 500. Nikawauliza hii ni ohotocopy ya ofisi au ni biashara ya mtu binafsi...

Kwa ofisi zingine ukienda hawaitaji copy ya kitambulisho kama umeshasajiliwa na kama wakiitaji watatoa bila gharama zozote..nimeona kila mtu anaeambiwqa copy mia tano analalamika...je tigo wameshindwa kugaramikia copy moja kwa mteja au ndio njaa za waliopewa ofisi...kwanza utafikiri ni ofisi ya serikali watu
 
Sio ajabu kwa mlimani city
Kuna sehemu niliwahi toa kopi na walinichaji 500 kwa moja
nadhani ni hapo alpha
Next time beba kopi zako kama wataka kukwepa gharama
OTIS
 
Photocopy inatakiwa iwe bure... Nahic kwenye hiyo ofisi kuna mtu kaanzisha ujasilia mali.

Na unaweza kuta machine ni ya kampuni, na wazungu wa tigo hawajui hiyo hujuma. jamaa wameamua kupiga kabiashara ndani ya ofisi.
That's bongo
 
Leo nimeenda mlimani city nilikuwa na tatizo na tigo pesa..line nimesajili lakini kufika pale nikaambiwa nitoe kitambulisho changu copy hapo hapo ndani kuna photocopy mashine na copy ni tsh 500. Nikawauliza hii ni ohotocopy ya ofisi au ni biashara ya mtu binafsi...

Kwa ofisi zingine ukienda hawaitaji copy ya kitambulisho kama umeshasajiliwa na kama wakiitaji watatoa bila gharama zozote..nimeona kila mtu anaeambiwqa copy mia tano analalamika...je tigo wameshindwa kugaramikia copy moja kwa mteja au ndio njaa za waliopewa ofisi...kwanza utafikiri ni ofisi ya serikali watu

mlimani city haulipii bidhaa au huduma.pale unalipia jengo mkuu
 
Nimejisajili na tigo pesa leo wakala akanitoza mia tano je hii ni halali kituo maeneo ya muhimbili
 
Sio ajabu kwa mlimani city
Kuna sehemu niliwahi toa kopi na walinichaji 500 kwa moja
nadhani ni hapo alpha
Next time beba kopi zako kama wataka kukwepa gharama
OTIS
Nakubaliana na wewe kwamba hakuna cha ajabu kwa Mlimani City, lakini nakubaliana na mtoa hoja kwamba ni ajabu kwa kampuni kubwa kama Tigo, kila mtu anashawishika kuamini kuwa takwimu za wateja sanjari na kumbukumbu za taarifa zao zilizokusanywa wakati wa usajili zingekuwa zimehifadhiwa Electronicaly na zingeweza kutumika kirahisi kwa Ku-retriave zikihitajika kwa kuandika tu namba kisha data zote zinakuja! Kwa kuwa ni kampuni inayomilikiwa 100% na wageni, na wamekuja kuchuma, watatuchuma sana!
 
Back
Top Bottom