Katibu wa UVCCM Wilaya ya Karagwe afukuzwa!

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
690
Imemalizika press conference hivi punde hapa bk,kikao cha UVCCM Mkoa wa Kagera kimemfukuza katibu wa UVCCM wilaya ya Karagwe kwa madai ya utovu wa nidhamu na kutofuata matakwa ya chama.

Kwamba hafai kuitwa katibu wa UVCCM na wametuma mapendekezo yao hao kwa UVCCM Taifa

Sababu nyingine nje ya press conference nitawajuza baadaye..................................

byabato
 
Anaitwa nani?
 
Mh! wameona waanze kujifanya kuwafukuza sababu wanajua muda sio mrefu UVCCM itabaki ya watoto wa wakubwa tu, yetu macho na masikio ikifika 2015 basi lao litabaki na vibabu tu na watoto wao.
 
Mti mmoja unaweza ukatengeneza njiti za kiberiti zaidi ya milioni moja wakati huohuo Njiti moja ya kiberiti (Godbless Lema) ikiwaka huuchoma msitu wenye miti zaidi ya milioni moja,Mwenye kuelewa na aelewe
 
Labda wamemshtukia alitaka kwenda CDM wao wakaona ni vema wakamfukuza mapema kabla ya kujiondoa.
 
ukiona hivyo jua huyo ni mchapa kazi na hataki upumbavu
iyo kumbe ni system nzima...pia kuna waziri walivoona anachapa sana kazi wakasema tumeamua kumweka kwenye vitoeo...matokeo yake kaibua bonge la kashfa baharini wameamua kumweka mahala pake
 
Dhambi ya kuchakachua matokeo ya uchaguzi 2010 yaliyokuwa yamempa ushindi mgombea ubunge wa CDM haitawaacha CCM salama. Dhuluma kwa wananchi, ni dhambi kubwa.
 
Imemalizika press conference hivi punde hapa bk,kikao cha UVCCM Mkoa wa Kagera kimemfukuza katibu wa UVCCM wilaya ya Karagwe kwa madai ya utovu wa nidhamu na kutofuata matakwa ya chama.

Kwamba hafai kuitwa katibu wa UVCCM na wametuma mapendekezo yao hao kwa UVCCM Taifa

Sababu nyingine nje ya press conference nitawajuza baadaye..................................

byabato

Unasema wamemfukuza. Sasa mapendekezo gani yaliyotumwa UVCCM Taifa?
 
Mti mmoja unaweza ukatengeneza njiti za kiberiti zaidi ya milioni moja wakati huohuo Njiti moja ya kiberiti (Godbless Lema) ikiwaka huuchoma msitu wenye miti zaidi ya milioni moja,Mwenye kuelewa na aelewe
Hekima hii. Uki chadena au?
 
Sasa kazi imeanza. Naomba aje CHADEMA. Tutampa kazi ya kuwavua samaki wa Nyakaiga, kayanga, kaisho, ishozi na pale kwenye ule mlima ukitoka gereza la kitengule panaitwaje pale juu kwenye kilele cha mlimani wenye kona nyingi..? Yule jamaa ni Rafiki yake Alfred Rwakatare, bila shaka karagwe inakombolewa soon. baada ya hapo M4C inabidi ihamie Ngara. Samahani sana bwana Sam Ruhuza, lile jimbo la ngara umegombea mara mbili mfululizo umeshindwa sasa chadema tunakuja, chagua moja kujiunga chadema au ccm.
 
i know him personally, (bw lufunyo nkinda) nimesoma nae uyu, nimekuwa nikimlaumu sana kuwafanyia kazi magamba lakini wapi alikuwa hakinipuuza, natmai kapata alichokuwa akikiitaji
kwenda uko karagwa ni kwamba alipewa uamisho akitokea wilaya ya kibiti (wilaya moja ukitokea mbagala kuelekea mikoa a kusini), kwao ni ubungo kibangu kwa baba ake mzazi.
natmai atajiunga na chadema kwani hataki masiala na mambo ya usanii hasa za wenzake CCM ndo ata kakorofishana nao
 
Back
Top Bottom