Wafanyakazi wa Tigo wapata ajali

Kima mdogo

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
303
46
Ni ajali mbaya iliyotokea njiapanda ya Moshi-Himo iliyohusisha gari dogo aina ya Nissan iliyokua imebeba wafanyakazi wa Tigo waliokua wanaelekea Himo kwenye promotion iliyogongana na Fuso ya mizigo,mpaka sasa watu 4 wafanyakazi wa Tigo wameaga dunia,kuna majeruhi wengine wako katika hali mbaya sana na wamelazwa Kcmc hosp.Soure mimi mwenyewe niko KCMC
 
dah ni ajali mbaya sana.nimeona maiti na majeruhi wakishushwa hapa KCMC.kwakweli inasikitisha sana.R.I.P wote waliopoteza maisha na poleni sana majeruhi wote
 
Mmekufa mkipigania maisha yenu na jamaa zenu. Poleni ndugu jamaa na marafiki wa marehemu
 
Poleni sana jamani....Mungu awarehemu kwa kuweka roho zao mahali pema...Na majeruhi waweze kupona haraka...
 
Duh!!
RIP wakuu mliokufa mkiwa kwenye harakati za kujitafutia chochote kitu kwenye hali ngumu ya uchumi wa Tanzania!!

Inasikitisha sana!!
 
Ni ajali mbaya iliyotokea njiapanda ya Moshi-Himo iliyohusisha gari dogo aina ya Nissan iliyokua imebeba wafanyakazi wa Tigo waliokua wanaelekea Himo kwenye promotion iliyogongana na Fuso ya mizigo,mpaka sasa watu 4 wafanyakazi wa Tigo wameaga dunia,kuna majeruhi wengine wako katika hali mbaya sana na wamelazwa Kcmc hosp.Soure mimi mwenyewe niko KCMC

Pole wote walioguswa na msiba huo. Lakini ninavyojua haya makampuni ya simu hayana wafanyakazi wanaofanya promotion, hizo ni kazi wametoa kwa makampuni mengine ya matangazo, mbaya zaidi malipo ya hao vijana huo ni madogo sana.
 
Hii ndio Shida ya Mdogo wangu Yupo Pale Nyumbani hana Kashughuli ila Tukimnunulia Leseni anaweza Kupata Vidili vya kusafirisha watu wa promosheni za Tigo!! Huyu driver Unakuta hana uzoeefu wowote Barabarani!! Na yeyote (Ndani ya gari) anayeona poor driving anaonekana ni Mzushu , Hivyo Hawezi Kukemea!! Duh Mungu Awarehemu kwani najua ni Vijana wadogo Tu Hawa Wanatafuta Maisha!! Hivyo tuchukulie Hili kama Fundisho!!
 
Vipi kuna uwezekano wa kupata majina yao coz nahisi kuna rafiki yangu anaitwa David Sakafu anafanya hapo Tigo,niliongea nae mara ya mwisho asubuh akaniambia ameenda Moshi kikazi,na taarifa ya ajali nimeipata mda huu nikitoka ofisini,na kwenye simu simpati.
 
poleni sana wafiwa watakuwa vijana wadogo bado ambao wanategemewa kwa namna mmoja au nyingine
 
Back
Top Bottom